Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Swat Matire
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Boniface Mwangi
Songwriter
Lyrics
Nipe mkono, tembea na mimi
Sina mwingine, baby niamini
Nakupenda sana, nakuamini mama
Nakupenda sana, baby love baby love
Nakupenda sana, nakuamini mama
Nakupenda sana, baby love baby love
Napenda ukismile hiyo design very nice
Napenda hiyo luku luku ah nice
Twende date leo ntakushikia wine
Pin location leo wacha nikudrive
Niko kwa rodi unaflash nikidrive
We hunibamba ndio maana nakutambua
Watoto wengi na we ndio nilichagua
Na umeweza ndio maana nilikuchambua
Watoto wengi lakini we ndio nataka
Sitaki raha sitaki hizi viraka
Nakupenda sana, nakuamini mama
Nakupenda sana, baby love baby love
Nakupenda sana, nakuamini mama
Nakupenda sana, baby love baby love
Wimbo ni nyingi lakini we tu wanacheza
Na we ni ndenga ndio maana siezi kucheza
Nikipata missed call siezi ilenga
Nilikutambua tangu nikufinyie macho
Nilitumia signal niite arial
Mi si bundles mi hulast
Kitu ka month niite wifi niite wifi
Tangu siku za shule, nikikukatiaga
Na bado ndio yule, mboga sijatoshaga
Ni upendo tu, na bas for you
Ni upendo tu na bas for you, Ni bahati na swat
Nakupenda sana, nakuamini mama
Nakupenda sana, baby love baby love
Nakupenda sana, nakuamini mama
Nakupenda sana, baby lov
Writer(s): Boniface Mwangi
Lyrics powered by www.musixmatch.com