Credits
PERFORMING ARTISTS
Alfa Kat
Vocals
Costa Titch
Vocals
Mbosso
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Alfa Kat
Songwriter
Costa Titch
Songwriter
Mbosso
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
S2Kizzy
Producer
Lyrics
S2kizzy Baby
Uchovu wa siku nzima
Nafsi inataka niipongeze
Tumwagilie mtima
Wauni wangu mjisogeze
Shogoroza, unga unga mwanangu upendeze
Ukitongoza, funga munda mtoto kamkoleze
Ah-ah-ah, shetani amepita
Leo ndani mitungi hadi jogoo anawika
Ah-ah-ah, Dj acha sifa
Izo mbwe mbwe minjonjo utachana spika
Ooh Salome, Salome
Nimempenda huyo shoga wako Salome
Ooh Salome, Salome
Niweke niwe Shem wako salome
Ah-ah-ah, shetani amepita
Leo ndani mitungi hadi jogoo anawika
Ah-ah-ah, Dj acha sifa
Izo mbwe mbwe minjonjo utachana spika
Yala-yala, yala, yala-yala-yala (yala)
Yala-yale, yala, yala-yala-yale (yala)
Yala-yala, yala, yala-yala-yala (yala)
Yala-yale, yala, yala-yala-yale (yala)
Ah, Monday to Sunday
Ah, ziyakhala manje
I need a trip Zanzibar, need a rock Kendwa Rocks
Need a baddie on a yacht Ashante
'Cause I don't want no stress (yea yea yea)
Girl, you rocking with the best (yea yea yea)
The Titch Gang never rest (yea yea yea)
This summer we the best (yea yea yea)
Monate mnate
Rona re batla monate mnate (monate mnate)
Monate mnate
Rona re batla monate mnate (monate mnate)
So let's go party
Mtoto wangu let's go party (let's go party)
So let's go party
Kama hakuna wasiwasi (wasiwasi)
Aiyaiya
Ah-ah-ah, shetani amepita
Leo ndani mitungi hadi jogoo anawika
Ah-ah-ah, Dj acha sifa
Izo mbwe mbwe minjonjo utachana spika
Kamix Lizer
Writer(s): Sheila Shorongo
Lyrics powered by www.musixmatch.com