Music Video

Jux - Sina Neno (Official Music Video)
Watch Jux - Sina Neno (Official Music Video) on YouTube

Credits

PERFORMING ARTISTS
Jux
Jux
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Jux
Jux
Songwriter
FOXX MADE IT
FOXX MADE IT
Composer
Bob Manecky
Bob Manecky
Composer

Lyrics

Ayeeeaaa yeee Ayeeeaaa yeee Ayeeeeeee Naona wameremeta Ngozi imenawili, una furaha now Kitanda hakina siri Zao la tendo, una kitumbo wow Mnapendezana Penzi liko kasi kasi Mkipostiana Instagram status Tushafunika kurasa Mambo ya zamani, yalishapita Maisha mengine sasa Kuwa na amani, hakuna vita Pre-Chorus Siiikuchukii nakuombea Maisha mema ya furaha, Mungu aoneshe njia Siiiumiii nimezoea Ila na furaha, kuiona familia (Aaaah aaah) Niko salama, mimi sina neno. (Aaaah aaah) Utaitwa mama Mtoto mpe upendo (Aaaah aaah) Niko salamaaaa, mimi sina neno. (Aaaah aaah) Utaitwa mama Mtoto mpe upendoo (Aaaah aaah) Uuuuuuuh Iyeeeeee yeee Iyeeeee yeee Iyeeeee yeee Najua unayo furaha Kwa zawadi uliopata Tena ulivyoshujaa Mtoto mama amepata Na nyie msije gombana Mtoto akapata kashi kashi Vizuri kuvumiliana Matatizo mkaya discuss Tushafunika kurasa Mambo ya zamani, yalishapita Maisha mengine sasa Kuwa na amani, hakuna vita Pre-Chorus Siiikuchukii nakuombea Maisha mema ya furaha, Mungu aoneshe njia Siiiumiii nimezoea Ila na furaha, kuiona familia (Aaaah aaah) Niko salamaaaa, mimi sina neno. (Aaaah aaah) Utaitwa mama Mtoto mpe upendo (Aaaah aaah) Niko salamaaaa, aaaaaah aaah. (Aaaah aaah) Utaitwa mama Mtoto mpe upendoo (Aaaah aaah)
Writer(s): Juma Mkambala Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out