Top Songs By Msomali
Credits
PERFORMING ARTISTS
Riphati Jumanne Omary a.k.a Msomali
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Riphati Jumanne Omary a.k.a Msomali
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Nick wizzo
Producer
Lyrics
Ahh natamba Sana
Nick Wizzo
Hivi niambie, kipi nimefanya
Ukaniacha mie, uhuu
Hivi niambie, kipi nimefanya
Ukaniacha mie, uhuu
Labda niiname tuu nifute machozi
Limenishuka, shuu, uhuu
Labda niiname tuu nifute machozi
Limenishuka, shuu, uhuu
Hivi ni nani alioyaleta duniani
Mbona ni mimi yananielemea
Hivi ni nani alioyaleta duniani
Mbona ni mimi inanitokeaa
Oohh
Sawa, sawaaa, sawaaaaaaa
Sawaaaah, sawa
Sawaaaaa, sawaaaa àaaah
Sawaaaaaaa
Kinachonitesa nakumbuka michezo wa kambale
We unavyoinama unabiduka unaminyia kwa kule
Kinachonitesa nakumbuka michezo wa kambale
We unavyoinama unabiduka unaminyia kwa kule
Mazuri mema yote nilio kufanyia
Haukunizingatia kisa uwezo wangu mia
Mazuri mema yote nilio kufanyia
Haukunizingatia kisa uwezo wangu mia
Labda ni jini nimetupiwa
Napendwa leo, kesho nachukiwa
Napiga goti nayakemea mimii
Sio mkorofii na Nick anajuaa
Hivi ni nani alioyaleta duniani
Mbona ni mimi tu yananielemea
Hivi ni nani alioyaleta duniani
Mbona ni mimi tu yananitokeaa
Oohh
Sawa, sawaaa, sawaaaaaaa
Sawaaaah, sawa
Sawaaaaa, sawaaaa àaaah
Sawaaaaaaa
Labda nikufe ndio uje kunizika
Kwangu kipupwe jua lake masika
Hakuna baya refu lisilo na nchaa
We sio malaya coz Vega haujafika
Hivi ni nani alioyaleta duniani
Mbona ni mimi yananielemea
Hivi ni nani alioyaleta duniani
Mbona ni mimi inanitokeaa
Oohh
Nick Wizzo
Lyrics powered by www.musixmatch.com