Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Spider Clan
Spider Clan
Remixer
COMPOSITION & LYRICS
Faizo Mugenyi Ratemo
Faizo Mugenyi Ratemo
Composer

Lyrics

Ni mangware na sidai kukatema Ni kajaba si heri tu nikameza Pande moja ni kaveve kazoze Unibebe hata mbele ya kirende Sitambui wewe maunenge Yako sio kitu ya pharaoh ndio maajabu Msupa hadai hatari anapenda babu Utamu wa mtura tulisema ni uchafu Kula soo tano utapata adabu Uliza lolote ntakupa jawabu Ni ngesh keks Ni mangware na sidai kukatema Ni kajaba si heri tu nikameza Pande moja ni kaveve kazoze Kaveve, kazoze Kaveve, kazoze Pande moja ni kaveve kazoze Kaveve, kazoze Kaveve, kazoze Npate baze na maboyz tumechill tunakata mizinga aluta Kujimix na madoo jimix na masela malitwai changanya Si ndio mauru hatulipangui ushuru Tunaishi maisha free ka ya uhuru Tunafloss ka watoi wa waiguru Tukiingia club watu hutupigia manduru Hatuna smartphone tunatumia katululu Ma shawrtie wanadai kutunyonya ka mabuyu Chorea kiherehere ka dere wa buru Chunga usilewe utuonyeshe maajabu Karibia bobo nadai nikuambie Roho yangu inadunda nadai uniskie Ka si wewe sidai mwingine Ka si wewe sidai mwingine Ni mangware na sidai kukatema Ni kajaba si heri tu nikameza Pande moja ni kaveve kazoze Kaveve, kazoze Kaveve, kazoze Pande moja ni kaveve kazoze Kaveve, kazoze Kaveve, kazoze Spider clan tunacall kunyambisha Na mambleina kuwastamp kuwatoka Bongongiz kuwatoka kimamngoto Mandiz snapchat na maphoto Zigizaga madasha tukizichoma Njozo ni managu changanya na nyagu Kiberiti kifaru ya kuseti nyaru Utafi zimeraru ukiskinya mambaru Kukaveva kukazoza nikiwa nimemedi Ganga joh ni genje warazi wamemedi Nikumet tuko fiti tuko best Tunanauwo ni wikendi Warazi wakiwuok tuko clear tukibanja Dem ka ni genje rarua kuchafua Mandunya mabanger warazi si ni fyat Ni mangware na sidai kukatema Ni kajaba si heri tu nikameza Pande moja ni kaveve kazoze Kaveve, kazoze Kaveve, kazoze Pande moja ni kaveve kazoze Kaveve, kazoze Kaveve, kazoze Ajere, vipire Salamure nagotea sokore Ye hunibeba hata mbele ya kirende Niko na babu na amebeba jembe Cash crop za kibera ni madondo Cash crop za Mombasa ni madafu Cash crop za Kisumu ni omena Na cash crop za wa meru ni kaveve Spider clan with the gang on a mic Mbogi fiti inanice mpaka syke Na madem nawaride kama bike Na mafans wakiwatch wakilike Na mangem zininice na mavictim Na mashaz huninice na mawhiskey Na kajaba kani nice na mawabling Ni mangware na sidai kukatema Ni kajaba si heri tu nikameza Pande moja ni kaveve kazoze Kaveve, kazoze Kaveve, kazoze Pande moja ni kaveve kazoze Kaveve, kazoze Kaveve, kazoze Jaba ilinionyesha nisiwaisema sorry Ilinipea kiburi ya francis atwoli Hadi siweza ongeza good morning Juu ya goodnight that wasn't replied Ntakupea space ukisema I'm boring I don't catch feelings I only catch flights Hadi nikianza kupata doh iko nini Nawalenga na siwezisema sorry Ngesh nataka kuconfess But sina courage ya kukuface Wah niliku heartbreak na ulikuwa unanipenda Aki ngesh I'm sorry Nilikuhepa ju umechapa Sai umerembeak nirudie I'm sorry Aki nilidump ex ona sai amebeba My ex im sorry Ni mangware na sidai kukatema Ni kajaba si heri tu nikameza Pande moja ni kaveve kazoze Kaveve, kazoze Kaveve, kazoze Pande moja ni kaveve kazoze Kaveve, kazoze Kaveve, kazoze
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out