Music Video

Dj Lapoze - Ajab [Official Music Video]
Watch Dj Lapoze - Ajab [Official Music Video] on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
DJ Lapoze
DJ Lapoze
Performer
PRODUCTION & ENGINEERING
Superprodusir
Superprodusir
Producer

Lyrics

Bingiri beng beng beng Eyo Dj Lapoze Yo super Waharibie Ni kama deacon (Mmh) Akiwa juu ya liqour Ama president kwa bedsitter Kanisa tukizidi jiaibisha Watu wa dunia wanashtuka (Ajab) Usibonge sana sema tu (Ajab) Kama ni noma sana unasema ni (Ajab) Penye hii dunia imefika kakangu (Ajab) Watu wanafanya tu vitu za ki (Ajab) Mmoja amebaka nyanyake juzi (Ajab) Mwingine ameekwa pembe za mbuzi (Ajab) Anyway wacha mziki si tupige Na wakenya wakiskia waseme ni (Ajab) Boy child anatafuta pesa akipata anakimbizana na paka Slay queen anaona mtu pesa anaingia box ndani anakufa Wacha nisibonge sana Msidhani najifananisha Yo super hawa watanimaliza Nishike mkono kabla sijajimaliza (Ajab) (Ajab) (Ajab) Shtuka ni kama umeona (Ajab) Kama ni noma sana unasema ni (Ajab) Ni (Ajab) Kama ni noma sana unasema ni (Ajab) Ni (Ajab) Politician una za ovyo Unajifanya ati venye we ni morio Unatuibia pesa mamillion Mdomo wazi tunabaki (Ajab) Ule mwenye aliiba kuku jamaa Amefungwa miaka tano haswa Ugatuzi ndio inafaa Ndio wakenya wawe na maisha (Ajab) Boy child anatafuta pesa akipata anakimbizana na paka Slay queen anaona mtu pesa anaingia box ndani anakufa Wacha nisibonge sana Msidhani najifananisha Yo super hawa watanimaliza Nishike mkono kabla sijajimaliza (Ajab) (Ajab) (Ajab) Shtuka ni kama umeona (Ajab) Kama ni noma sana unasema ni (Ajab) Ni (Ajab) Kama ni noma sana unasema ni (Ajab) Ni (Ajab) Boy child anatafuta pesa akipata anakimbizana na paka Slay queen anaona mtu pesa anaingia box ndani anakufa Wacha nisibonge sana Msidhani najifananisha Yo super hawa watanimaliza Nishike mkono kabla sijajimaliza (Ajab) (Ajab) (Ajab) Shtuka ni kama umeona (Ajab) Kama ni noma sana unasema ni (Ajab) Ni (Ajab) Kama ni noma sana unasema ni (Ajab) Ni (Ajab)
Writer(s): Festus Kaunyangi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out