Credits
PERFORMING ARTISTS
Rozinah Mwakideu
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Rozinah Mwakideu
Songwriter
Lyrics
Eeeh ieeh eeh
Ni wewe
Uliyenishika mkono na kuniinua aah
Ni wewe
Mwenye nguvu zote
Na mamlakaa
Ni wewe
Mungu uishie milele
Milele milele yote
Giza lilitanda
Sikuona mwanga aah
Ooh ooh ooh
Kushoto kulia nikiangalia
Eeh eeh baba ah
Nafsi yangu ilikuita
Na wewe ukaitika aah
Mkono wangu ukaushika aah
Ninakuimbia ninashuhudia
Eeh eeh eh eh
Na leo ooh ooh oh
Nimesimama aah aah
Ni kwa neema aah aah
Umenipenda baba
Na tena aah aah
Nimekujua aah aah
Unainua aah ah
Wewe ni Mungu baba aah
Tazama umenihifadhi
Tazama umeniita mwana wako
Tazama umenilinda
Tazama kwa mkono wako oh
Hukuniwacha niangamie
Hukuniwacha nizame eeh
Eeh eh baba aah
Hukuniwacha niangamie
Hukuniwacha nizame eeh
Ooh ooh ooooh ooh ooh
Na leo ooh oh
Nimesimama aah aah
Ni kwa neema aah ah
Umenipenda baba
Na tena aah aah
Nimekujua aah ah
Unainua aah ah
Wewe ni Mungu baba aah aah
Msaada wangu wa karibu
Ni wewe
Rafiki yangu daima
Ni wewe
Kipenzi cha roho yangu
Ni wewe
Nakuita mwaminifu milele eeeh
Na leo ooh ooh
Nimesimama aah aah
Ni kwa neema aah aah
Umenipenda baba
Na tena aah aah
Nimekujua aah ah
Unainua aah aah
Wewe ni Mungu baba
Na leo ooh ooh
Nimesimama aah aah
Ni kwa neema aah ah
Umenipenda baba
Na tena aah aah
Nimekujua aah ah
Unainua aah ah
Wewe ni Mungu baba
Writer(s): Rozina Mwakideu
Lyrics powered by www.musixmatch.com