Credits
PERFORMING ARTISTS
Janet Otieno
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Janet Otieno
Songwriter
Lyrics
Ni wee
Oh Yesu (Ni wee)
Mhm (Ni we×2)
Hufananishwi na yote yule
Wewe ni wa kipekee
Kifo na mauti ukapiga teke wewe ni wa kipekee
Dunia nzima
Umetukuka kwote
Dunia nzima
Umetukuka kwote
Sasa sina mwingine ila (ni wee)
Kimbilio, tegemeo langu (ni wee)
Ni mtazamie nani ila (ni wee)
Yesu (ni wee), Baba (ni wee)
Mungu anainuwa watu wote ehh
Anaangalia ndani ya roho yako ohh×2 Mtafute×4...
... Kila siku tuko mbiyoni
Tukitafuta maisha bora
Tunasahau kutafuta Mungu ni bora
Utafuteni
Ufalme wa Mungu kwanza
Hayo mengine
Yote yatafuata
Heyyy huina mwingine ila (ni yee)
Kimbilio, tegemeo lako (ni yee)
Umtazamie nani ila (ni yee)
Yesu (ni yee), Baba (ni yee)
Yeiyeh eiyeh iyehh
Mungu anainuwa watu wote ehh
Anaangalia ndani ya roho yako ohh×2 Mtafute×4...
Yeye pekee
Hatuna mwingine×2 No×3
Oh Yesu
Mhm
Wewe hah wewe yah weweihh
Mungu anainuwa watu wote ehh
Anaangalia ndani ya roho yako ohh×2 Mtafute×4...
Ohhh, Mtafute
Mtafute. Mtafute ehhh
Writer(s): Janet Otieno
Lyrics powered by www.musixmatch.com