Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Willy Paul
Willy Paul
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Wilson Ouma
Wilson Ouma
Songwriter

Lyrics

Nasema leo umelemewa lakini kesho you never know
Nasema leo umekosa mlo lakini kesho you never know
Nasema leo umelemewa lakini kesho you never know
Nasema leo umekosa mlo lakini kesho you never know
You never know, you never know
You never know, you never know
Eeh! Ooh! Eeh!
Eeh! Ooh! Eeh!
Usijitie kitanzi bado muda upo uuh
Na Bwana yupo ywakuangazia mienendo yako oo
Matatizo ni mengi yamejaa maishani mawazo ya kwako ni kupagawa
Usipagawe no! No! No! No! No! Usipagawe yeeh!
Huenda leo umekosa mlo, huenda leo wewe kangonjeka
Familia nayo imejitenga, jitenga na we eweh
Ukijizatiti na kujiamini kwake Mwenyezi
Yatakuwa shware eeh! Yatakuwa shware kukukuu
Nasema leo umelemewa lakini kesho you never know
Nasema leo umekosa mlo lakini kesho you never know
Nasema leo umelemewa lakini kesho you never know
Nasema leo umekosa mlo lakini kesho you never know
You never know, you never know
You never know, you never know
Eeh! Ooh! Eeh!
Eeh! Ooh! Eeh!
Mm kwako tabu na njaa, shindwa utafanya nini hakuna
Ni kwako tabu na njaa, shindwa utafanya nini hakuna
Na busara ya wahenga, ni kila mtu hupata raha
Mmoja ni mmoja aah atakaye muamini yeye
Yatakuwa shware, yatakuwa shware, yatakuwa shware
Simubanju we, simubanju we, anakupenda we eeh!
Anakujali we
Nasema leo umelemewa lakini kesho you never know
Nasema leo umekosa mlo lakini kesho you never know
Nasema leo umelemewa lakini kesho you never know
Nasema leo umekosa mlo lakini kesho you never know
You never know, you never know
You never know, you never know
Eeh! Ooh! Eeh!
Eeh! Ooh! Eeh!
You never know, you never know, you never know
You never know, you never know, you never know uuh you never know
Written by: Wilson Ouma
instagramSharePathic_arrow_out