Credits

PERFORMING ARTISTS
Fari Athman
Fari Athman
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Fari Athman
Fari Athman
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Julius Nana
Julius Nana
Producer

Lyrics

Sio ngumu kuibandika maneno ya kwangu kuiweka ya kwako
Utajipata umepatwa na pressure bure
Akisema Mungu baraka zifike za kwako hata ukifika 40
Zitakupata iwe ni wapi kule
Wacha kuforce itakuja yenyewe lakini kivyake
Madam boss siku yako ikifika na jina wakuite
Usicopy ninachofanya you don't wanna regret the mistakes
You don't know ninachofanya ndio mahali niko nifike
Pressure,punguza pressure take it slow
Nasema reduce the pressure there's nothing more
Pressure,usijiweke pressure kwa vitu ndogo
Pressure ukijipa pressure you'll loose it all
Tell me why unang'ang'ana
Kuishi maisha huwezi maintain at the moment
Huoni kama unajiumiza mmh
Kama ni hao marafiki watakutenga because you don't have a fancy closet or maybe you don't even own a car
Let them leave and let you be
Sio mbaya kusema that one day i will be this and i'll do that
Kama sio sahii maybe someday
Yule aliyenibariki ni huyohuyo unaemuomba
Kila mtu na siku yake
Hapo ulipo ndio mi nilitoka
Pressure,punguza pressure take it slow
Nasema reduce the pressure there's nothing more
Pressure,usijiweke pressure kwa vitu ndogo
Pressure ukijipa pressure you'll loose it all
Written by: Fari Athman
instagramSharePathic_arrow_out