Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Beka Flavour
12-String Guitar
COMPOSITION & LYRICS
Bakari Katuti
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mafeeling
Producer
Lyrics
Wimbo :DUNIA YETU
Introduction….
Huuu huuhuu yeeh mmh ooh ooh ooh flavour again is true definition.
Verse 1
Ntakupenda leo kesho mpaka mtondogoo,
Sikuachi mamito hapo kwako ndo mwisho ooh eoooh,
Mchango wako hapa nilipo hauna kificho nikulipe nini malipo ooh eoooh,
Uhakika kabisa kwa sasa nipo huru mapenzi unayonipa asante nashukuru ,
Uwadhifa umenipa siwezi kukufuru mahaba unayonipa naanzaje kujiudhuru.
Chorus
We unavyonipenda me ninavyokupenda si tunavyopendana tupo dunia yetu yetu uuuh,
We unavyonipenda me ninavyokupenda si tunavyopendana tupo dunia yetu yetu uuuh.
Verse 2
Kama moto ni wa mkaratusi penzi linavyowaka,
Michezo yake me huaga sichoki ikizima anaiwashaa,
Yakikorea kahamishia bongo hizo raha ninazopata,
Anipeti peti massage kwa mgongo huku moyo kaupakata,
Me nacheza anga zangu zangu, yeye ndo furaha yangu yangu,
Kiukweli nimezamaaa tumeshibanaa aah,
Uhakika kabisa kwa sasa nipo huru mapenzi unayonipa asante nashukuru,
Uwadhifa umenipa siwezi kukufuru mahaba unayonipa naanzaje kujiudhuru,
Chorus
We unavyonipenda me ninavyokupenda si tunavyopendana tupo dunia yetu yetu uuuh
We unavyonipenda me ninavyokupenda si tunavyopendana tupo dunia yetu yetu uuuh.
Outo
We unavyonipenda me ninavyokupenda si tunavyopendana tupo dunia yetu yetu uuuh,
We unavyonipenda me ninavyokupenda si tunavyopendana tupo dunia yetu yetu uuuh.
Written by: Bakari Katuti