Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Pastor Epa
Pastor Epa
Performer
Sephone Sospeter
Sephone Sospeter
Keyboards
COMPOSITION & LYRICS
Pastor Epa
Pastor Epa
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Samwel Mboya
Samwel Mboya
Producer

Lyrics

Nakutukuza kwa yale ambayo umetenda BWANA
Nakuinua kwa yale amabyo umetenda BWANA
Nakuhimidi kwa yale amabyo umetenda BWANA
Usifiwe kwa yale amabayo umetenda BWANA
U Mzuri sana ee BWANA,Hakuna wakufanana nawe
Mwaaminifu sana ee BWANA,Hakuna wakufanana nawe
Watahili sifa ee BWANA , Hakuna wakufanana nawe
Mpasua bahari Izraeli wakapita BWANA
Mpasua miamba maji mengi yakatoka BWANA
Mfunga makanwa ya simba mbele ya Danieli BWANA
Usifiwe kwa yale ambayo umetenda BWANA
U Mzuri sana ee BWANA,Hakuna wakufanana nawe
Mwaaminifu sana ee BWANA,Hakuna wakufanana nawe
Watahili sifa ee BWANA , Hakuna wakufanana nawe
Written by: Pastor Epa
instagramSharePathic_arrow_out