Credits

PERFORMING ARTISTS
malosh
malosh
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
malosh
malosh
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Frank Laiga
Frank Laiga
Producer

Lyrics

Ahhhh, ahhhhh, ahhhhhh
I see you walking through your door, na kenye nitafanya baby mi najijazia
Nasema mi sijali like I don't give a damn, lakini mbona basi kila saa nachungulia
Ohh mara nikae, oh mara nisimame ama nibishe hodi kama fala nijifanye
Nacheka kama chizi kumbe ndani mi nalia, navumilia juu hadi siwezi kuambia vile
Mi nakutaka nadai kuwa nawe, sioni mwingine wakunipendeza kama we
Kinipatia muda nami najua ni we chochote utataka nitakupa
Nobody, nobody knows siri zangu bado nazificha
Nobody, nobody knows juu bado nazizika
Ok ni sawa ni sawa najiblame, sazingine ni mi ndio nashindwa what to say
Ndio maana najificha ukiniona najificha juu sitaki niaibike
Najua mi nasleki niongoje, ni vile hii mapenzi ni ya wenyewe
Ni vile mi tu ni mgeni, ndio maana sisemi
Mi nakutaka nadai kuwa nawe, sioni mwingine wakunipendeza kama we
Kinipatia muda nami najua ni we chochote unataka nitakupa
Nobody, nobody knows siri zangu bado nazificha
Nobody, nobody knows juu bado nazizika
Nobody, nobody knows, nobody knows
Nobody, nobody knows, nobody knows
Nobody, nobody knows, nobody knows juu bado nazificha
Nobody, nobody knows, nobody knows
Nobody, nobody knows, nobody knows
Nobody, nobody knows, nobody knows juu bado nazizika
Mi nakutaka nadai kuwa nawe, sioni mwingine wakunipendeza kama we
Kinipatia muda nami najua ni we chochote utataka nitakupa
Nobody, nobody knows siri zangu bado nazificha
Nobody, nobody knows juu bado nazizika
Written by: malosh
instagramSharePathic_arrow_out