Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Sugar Igaufe
Performer
Johkprod
Bongos
COMPOSITION & LYRICS
Sugar Igaufe
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Johkprod
Producer
Lyrics
I thanks God to meet you
I guess you’re the bless from me
Ilo shape la kibantu
Limeni legelege mamy
Ugeni wa mapenzi kwako nimetulia nimetulia
Yale mambo ya zamani nimechoka kutamania tamania
Naomba kesho babako aje kuni barikia malikia
Iwe siri nawe nalia macho
Nafikiri awe
Kesho niwe wako
Iwe siri honey
Ibaki yangu na yako
Vala vala tina
My vala vala my vala
Ushanichosha kamoyo
Basi nitulize mutima
Usije ukawa muchoyo
Ushaenda kill mwili mwima
Tuone mapema
Tufanye shopping after lunch
Tuwape chakusema
With you am so lucky
Iwe siri nawe nalia macho
Nafikiri awe
Kesho niwe wako
Iwe siri honey
Ibaki yangu na yako
Refrain
Vala vala tina
My vala vala my vala
Vala vala tina
Written by: Sugar Igaufe