Top Songs By Kappy
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Kappy
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Kappy
Composer
Lyrics
[Verse 1]
Nilifanya shiru akuje kwangu ata kaa bado chali yake ni donga
Nabambika na stick akipatiwa imejichonga
Nashangaa izo ni gani alipatiwa hajai ona
Yuskizia vizii nikimueka na mabendover
[Verse 2]
Wanaguza-guza jegi githinyaku nikigonga
Inabaki mi ni champe Shiro ushanisoma
Bana ninafanya babygirl akue sponsor
Mi humpatia ndizi mara tatu kaa mgonjwa
[Verse 3]
Shiru ananicall tupatane saa moja
Amenipikia fity keroma na Johnnie walker
Mi niko kwa jeans leather jacko na topper
Chini ni marubbo Shiro hapendi fosa
[Verse 4]
Luku ni safi kondiko inacheza kwa toja
Najuanga ni shughuli before tuanze kubonga
Rowesanyoro mi nathugumira kwa sofa
Manduru zinatoka aaah
[Chorus]
Shiro ana doh, Shiro ananisponsor
Shiro ana doh, Shiro ananisponsor
Shiro ana doh, Shiro ananisponsor
Shiro anapendanga venye mi namchota
[Verse 5]
Tulijuana na Shiro Dunda
Kuna matha alikuja akanishow "naeza kusunda?"
Eeh nitafute, Runda naitwa Shiro
But usikuje leo, leo niko na mashiro
[Verse 6]
Kupenda mtu hajazeeka is all we know
Wazee wako na pesa old is gold
Nimepata sponsor staki kuteseka
Tangaza kwa soko this guy is gone
[Verse 7]
Hapa nimepata green pasture
Hata ka ni kisima, wee nazama
[Verse 8]
Mi humuita sugar, Shiro my mummy
The way she loves me, loves me, loves me eeh
Mi humuita sugar, Shiro my mummy
The way she loves me, loves me eeh (Eeh)
[Chorus]
Shiro ana doh, Shiro ananisponsor
Shiro ana doh, Shiro ananisponsor
Shiro ana doh, Shiro ananisponsor
Shiro anapendanga venye mi namchota
[Verse 9]
Cheki anafanana na Nandy
Ananiitanga daddy
Macho juu ya amani
Na hajazi kwachu wathii
[Verse 10]
Shiro anadoh kadem kabombe kana mahitaji
Na ni m-expensive kana ganji ye hunikatisha maji
Kam ninini, ile kitu unapendaga nakuiwhine tininini
Nitakupea namba tisa, kama mat za Eastleigh
[PreChorus]
Itamezwa ukituma direct kwa MPESA
[Chorus]
Shiro ana doh, Shiro ananisponsor
Shiro ana doh, Shiro ananisponsor
Shiro ana doh, Shiro ananisponsor
Shiro anapendanga vile mi namchota
[Verse 11]
Shiro alininoki juu ya lugha
Nilimsuka 1,2,3 akashtuka
Kamenichanganya medulla
Nashindwa ni msapere na kamebeba dhudha
[Verse 12]
Aki Shiro we ni wa uradi
Kienyeji wangu we ni mali safi
We ni wa Kilimani na vile unakaa mlami
Bad gyal Shiro unapenda dhambi
[Verse 13]
Amenishow nisistress
Akanishow "siwezi rudi kwa ex"
Lightskin ama umetoka US?
Kanapenda vitu safi ye hunipatia head
[Verse 14]
Niulize? Kuna haja nitafute mumama (Haiwezi)
Niulize? Ukipewa vizuri bado unahanya (Haiwezii)
[Verse 15]
Shiro amenirank juu ya stick
Shiro anapendaga akimess kwa bedsheet
Ati juu nina bojongo inachimbaga fiti
Bonjongo iko kazi kwa punani chini
Aki ya nani hujaiona
[Verse 16]
Bojongo imekula mkombero na nduma
Ongeza supu njoti mi nakula
Shiro, Shiro anapendaga yangu lolo
Shiro anapendaga vitu nono
Tangu akule yangu hataki tena za mamono
Ye hudhigitha masonko wanaleta doh kwa mbosho
[Chorus]
Shiro ana doh, Shiro ananisponsor
Shiro ana doh, Shiro ananisponsor
Shiro ana doh, Shiro ananisponsor
Shiro anapendanga venye mi namchota
Written by: Kappy