Top Songs By Jay Melody
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Jay Melody
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Sharif Saidi Juma
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Adam Amiry Maingwa
Producer
Ally Ramadhan Juma
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Sifa zake kila kona
Mimi nimezisikia
Natamani kumuona
Machache kumuambia
[Verse 2]
Kweli nimetembea
Sijawahi ona kama yeye
Sifa anazogewa
Mpaka nijionee mwenyewe
[PreChorus]
Mwenye uzuri wa macho
Ako wapi tumuonee
Huko nyuma kafungasha
Ako wapi tumuonee
Atuonyeshe alichonacho
Ako api tumuone
Kiuno anavokata
Ako wapi tumuone
[Chorus]
Katika kata, katika kata
Katika kata, katika kata
Kiuno
Katika kata, katika kata
Katika kata, katika kata
[Verse 3]
Kweli kua uyaone
Hii dunia ina mengi
Sasa nimeshaelewa
Kwanini vijana hatujengi
Ukistaajabu ya Musa
Utayaona ya Firauni
Yani kama anasusa
Anavyocheza kihuni
Nyuma alivoangusha
Udambwidambwi zigo nyangumi
Yani kama anasusa
Anavyocheza kihuni
[PreChorus]
Mwenye uzuri wa macho
Ako wapi tumuonee
Huko nyuma kafungasha
Ako wapi tumuonee
Atuoneshe alichonacho
Ako wapi tumuonee
Kiuno anavokata
Ako wapi tumuonee
[Chorus]
Katika kata, katika kata
Katika kata, katika kata
Kiuno
Katika kata, katika kata
Katika kata, katika kata
[Outro]
Amekupa mama (Kata)
Wala sichakuazima (Kata)
Kiuno chako mwenyewe (Kata)
Eeh mguu mmoja (Kata)
Kama unainama (Kata)
Ati Unatetemesha (Kata)
Amekupa mama (Kata)
Kiuno chako mwenyewe (Kata)
Written by: Sharif Saidi Juma