Music Video

Young Lunya - Noma (Official Audio) ft. Marioo
Watch Young Lunya - Noma (Official Audio) ft. Marioo on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Young Lunya
Young Lunya
Performer
Marioo
Marioo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Salmin Kasimu Maengo
Salmin Kasimu Maengo
Composer

Lyrics

[PreChorus]
Na wenyewe wanajua kile kinachofwata, wakileta utata
Dada zao wanajua wa kila vya kwetu kinachowapata
Na wenyewe wanajua kile kinachofwata
Ndugu zao washajua kama haya ni matongo matongo matongoo
[Chorus]
Oyaa noomaa
Oyaa noomaa
Oyaa noomaa
Oyaa noomaa
[Verse 1]
Mtaani wananiita mbuzi kisa huu unyama (Oyaa)
Baada ya bata akaomba laki nilichomfanya (Noomaa)
Tako ni nyingi akaona giza la usiku mchana eh
[Verse 2]
Nyuzi kama vile Santana eh
French kama vile Montana, oops
[Verse 3]
Bango likitokeza tu watoto wanachange mikao (Mikaoo)
Sitaki uniite Filauni eti kwasababu ya mwanangu Pharaoh (Papi)
Wakidondoka ni kweli hawaondokagi tunaangusha nao (Skuuu)
Nakushangaza eeeh mbona sifanani naalama ya mshangao
[Verse 4]
Hapo vipi (Hapoo), hapo (hapoo) sawa
Kama unavyoona tuna ball si wenyewe, maambo chawaa
Mbona ni kama nilikupa full dozi haijakuingia dawa
Sie tuko bize ku set mipango, money respect power
[PreChorus]
Na wenyewe wanajua kile kinachofwata, wakileta utata
Dada zao wanajua wa kila vya kwetu kinachowapata
Na wenyewe wanajua kile kinachofwata
Ndugu zao washajua kama haya ni matongo matongo matongoo
[Chorus]
Oyaa noomaa
Oyaa noomaa
Oyaa noomaa
Oyaa noomaa
[Verse 5]
Mambo ya kasheshe, misala mi sijui
Ukicheza na moto, kinachofwata mi sijui
Mambo ya kasheshe, misala mi sijui
Ila ukicheza na moto, kinachofwata mi sijui
[Verse 6]
Eti wananiita bwana shamba (Farmer)
Mboga ni nyingi zimenizoea kiasi kwamba sizifungi hata kamba (Kambaa)
Nafasi ni chache ndomana wengine unaona wanapiga misamba (Misambaa)
Tukijipata na pesa tulizotafuta mnatuita washamba (Ouuu)
Na bado sija brag na video za viwanja na shamba, mpoo?
Kasheshe misala mi sijui
[Verse 7]
Ila ukileta mbwembwe nakukalisha asubuhi (That's right)
Si unaona tulivyotakata tunaogea na asali mixer tuwi
Huu siwezi kuita uadui kwasabu unanijua mi sikujuiii, yess
[PreChorus]
Na wenyewe wanajua kile kinachofwata, wakileta utata
Dada zao wanajua wa kila vya kwetu kinachowapata
Na wenyewe wanajuakile kinachofwata
Ndugu zao washajua kama haya ni matongo matongo matongoo
[Chorus]
Oyaa noomaa
Oyaa noomaa
Oyaa noomaa
Oyaa noomaa
Written by: Salmin Kasimu Maengo
instagramSharePathic_arrow_out