Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Shakirah
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Shakirah Tz
Songwriter
Lyrics
Verse 1
Jaumbe Records
Ooooh ooh
Shakirah
Jamani mmemuona!
Mmemuonaah
Shemeji yenu huyo
Wale wasopenda mbona mtakomaah
Ishakula kwenu uh!
Wafanye matambiko
Kote niko hata mkiroga eh!
kokote nipo nipo mpaka kifo
Bado niko nae..
Bridge
Hata mkimuota marioo
Tueishafunga viyoo
Mnapiga bila salioo
Chochote nikisema ndioo!..
Chorus
Nashika tamaaa (Namuwaza Ye)
Naogoooooh (Namuwaza Ye)
Nambusu Mwaah (Namuwaza Ye)
Naogoooooh (Namuwaza Ye)
Na nitamuendea kwa mganga (Namuwaza Ye)
(Namuwaza Ye ye)
(Namuwaza Ye ye)
(Namuwaza Ye)..
Instrementel Playing
Verce 2
Kopa kabana
Hanichoshi Haniboi
Usiku iwe mchana
Akitaka Sichomoi
Ananikosha kwa upendo (Haaaah)
Atie ninga namalingo (Haaaah)
Kwake sijaona pingo
Nina ng\'ang\'ana (Haaaah)..
Bridge
Hata mkimuota marioo
Tueishafunga viyoo
Mnapiga bila salioo
Chochote nikisema ndioo!.
Chorus
Nashika tamaaa (Namuwaza Ye)
Naogoooooh (Namuwaza Ye)
Nambusu Mwaah (Namuwaza Ye)
Naogoooooh (Namuwaza Ye)
Na nitamuendea kwa mganga (Namuwaza Ye)
(Namuwaza Ye ye)
(Namuwaza Ye)
(Namuwaza Ye)..
Instrementel Playing
Written by: Shakirah Tz