Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Israel Mbonyicyambu
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Israel Mbonyicyambu
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Israel Mbonyicyambu
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Nina siri naye Yesu yanifanya niwe jasiri
Kwa amani nayo dhiki yanifanya niwe jasiri
Yaniburudisha nikirukaruka Hossana amen
Yaniburudisha nikirukaruka Hossana amen
[Chorus]

[Verse 2]
Wambie wanaolia wakiteswa na malimwengu
Waonjeni neema yake na rehema yake mwokozi
Watafunguliwa, watawekwa huru wakiimba Hossana amen

Watafunguliwa, watawekwa huru Hossana amen
Watafunguliwa, watawekwa huru wataimba Hossana amen
[Chorus]
Nina siri naye Yesu yanifanya niwe jasiri
Kwa amani nayo dhiki yanifanya niwe jasiri
Yaniburudisha nikirukaruka Hossana amen
Yaniburudisha nikirukaruka nikiimba Hossana amen

[Bridge]

[Outro]
Yaniburudisha nikirukaruka Hossana amen
Written by: Israel Mbonyi