Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Abby Chams
Abby Chams
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Marioo
Marioo
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
The Mix Killer l
The Mix Killer l
Producer

Lyrics

[Abby Charms]
Ooh Oooh
Ooooh Oooh Ooh
Yeah
Oooh Oooh Oh
Yeah
Nipende sana mi nataka wale
Walo sema kwamba utaniacha wanune
Tupendane yani mpaka wale
Wanaosubiri tuachane wachunde
Acha wakae vikao wamalize waganga
Yanawashinda ya kwao waone kama waganga aaaah
Hatuli hatulali kwao unawa ponza uganga
Oh Ooh
Huoni hata sura zao mbaya
Wana nitaka, mi siwataki nakutaka wewe tu
Wakinifata, nakimbia nakufata wewe tu
Kama ukitaka mi nilie, amua wewe tu
Ama nitoke hadharani niseme
I love you
I love you
I love you
I love you
[Marioo]
Oooh
Mmmh Yeah Ooh Mmh
Aaah Aah
Ooh Yeah Yeah
Baby ukiwaona, nioneshee
Nikupe Vitamu tamu mbele ya macho yao
Tuwa komeshe, nipe vitu vitamu mbele yao
'The Mix Killer'
Written by: Marioo
instagramSharePathic_arrow_out