Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Yamoto Band
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Aslay Beka Mbosso Bella
Songwriter
Lyrics
Natamani niishi nawe kwenye moja nyumba tuje tuzae nikwite mama mwenye nyumba vigezo na mashart ntazingatia ule uhuni uhuni staki kukuigizia niamini mm tu ndo nnaekuzimikia hata ukinipa tunda sitokuja kimbia kinyongaaa mwendo wangu taratibu kupenda nimekupenda nahitaji kupanda mbegu aaaah ooooh
nije ukweni kwa babaa na mamaayo waje wanijue nnaemtaka mwanao ukween kwa baba mamaayo waje wanijue nnaemtaka mwanao eeeeh aaaaaah
Nmetoka mawenii kule mashambani leo hakuna kima kupo shwarii
nmepita bondeni kule kisimaan nimemwona bint kigoli ana kidot mdomoni kipini cha puani nywele tano kichwan vindev kidevuni ana mtungi mbavuni furushi mgongoni ndala zipo mkononi mtoto wa jirani
oooh baba nendaa kuwa mshenga waeleze wazaz wake nataka kuchumbia heka tano za shamba gunia za mpunga debe kumi za mahindi nitawapatia
Wazazi wako wakikataa barua
(NTALIA MWENYEWE)
Aaaah ntalia ntalia eeeh
(NTALIA MWENYEWE)
Wazazi wako wakikataa barua
(NTALIA MWENYEWE)
Aaaah ntalia ntalia eeeh
(NTALIA MWENYEWE)
Wazazi wako wakikataa barua
(NTALIA MWENYEWE)
Aaaah ntalia ntalia eeeh
(NTALIA MWENYEWE)
Wazazi wako wakikataa barua
(NTALIA MWENYEWE)
Aaaah ntalia ntalia eeeh
(NTALIA MWENYEWE)
Nimeona wengi lakini sio kama wee nmekupenda nataka nkuchumbie nmekupenda me nataka nikuoe hali yangu masikini ila ntatafuuta mama ili ulee uzuri mwenzangu na mm kumbuka maisha ndo yale yale
nmeona wengi ila kwako nmetia naanga eeh kuonesha nakupenda eeeh namtuma na mshengaa aaah eeeh
me ninyoka nmetema sumu yangu kwako nachoogopa ni wazaz wako kunikataa eeh
aaah namuomba maulana mama majibu yarud vema mama eeh
Mimi mwenzenu sijui kuoga atanipenda nani kuchana nywele siwez jama atanitaka nani mswaki unapigwaje atanipenda nani
nguo safi ndo zipoje nijuzeni eeeh nyamitaka mie
Wazazi wako wakikataa barua
(NTALIA MWENYEWE)
Aaaah ntalia ntalia eeeh
(NTALIA MWENYEWE)
Wazazi wako wakikataa barua
(NTALIA MWENYEWE)
Aaaah ntalia ntalia eeeh
(NTALIA MWENYEWE)
Wazazi wako wakikataa barua
(NTALIA MWENYEWE)
Aaaah ntalia ntalia eeeh
(NTALIA MWENYEWE)
Wazazi wako wakikataa barua
(NTALIA MWENYEWE)
Aaaah ntalia ntalia eeeh
(NTALIA MWENYEWE)
Written by: Aslay Beka Mbosso Bella