Music Video

Christian Bella - Umebadilika (Official Music Video)
Watch Christian Bella - Umebadilika (Official Music Video) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Christian Bella
Christian Bella
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Kwete Christian
Kwete Christian
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mocco Genius
Mocco Genius
Producer
Chadda
Chadda
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Umeanza tabia ya kurudi nyumbani asubui eeh
Ukirudi unanyatanyata kama nyau
Ukirudi unaingia nyumbani kama mwizi yeeh, yeeh, yeh
Majirani na marafiki zangu wananiuliza
Hakuna Alietegemea kuna siku utabadilika
Maana ulilelewa kwenye misingi ya kidini
Sijui ni ujana au marafiki zake wamemuaribu ooh
[Verse 2]
Nyumbani kwa tajiri pameja vitu vya kifahari
Majirani wanampongeza watu wanamsifia
Ye mwenyewe anajua kipato chake ni cha magendo
Hatua nasiri, dunia hakuna siri yieh, yeh, yeh
[Verse 3]
Pametokea mlipuko watu wengi wamefariki
Wauza Jeneza wanajifanya kama wameumia
Kumbe wana furaha moyoni wamefanya sold out
Shida za wengine furaha kwa wengine
[Verse 4]
Natoa tu mifano sababu maisha ya mapenzi kuna siri kubwa
Ninayo pitiya ni mengi
[Chorus]
Mwizi kaingia nyumbani kwa watu katereza kavunjika mguu
Apige kelele au vipi
Aombe msaada au asiombe
Alie au asilie mama yeeyee yeiyee
Mwizi kaingia nyumbani kwa watu katereza kavunjika mguu
Apige kelele au vipi
[Verse 5]
Yoo cherie yee umeshindikana
Natua mizigo yamenishinda aah
Naomba sasa tuachane ubaki na amani na mi nibaki na amani
Nilizidi kukufatilia ilikua ni mapenzi
Kwa sasa nimechoka baby weeeh
Tuachane kwa amani my bebe haikua riziki iih
[Verse 6]
Unapenda kuonjaka onjaka onjaka tu
Unapenda kuonjokaonjoka onjaka tu
Kila akiona (Anataka) matajiri (Anaonja)
Wauza sura (Anataka) wafupi warefu (Anaonja)
Wanene wembamba (Anataka) weusi weupe (Anaonja)
Wasani na ma Dj anapita kila kona
[Refrain]
Mpenzi wangu yote unayoyafanya
Yananifikiaga uwa navumilia
Ili nilinde heshima ya familia aah
[Chorus]
Mwizi kaingia nyumbani kwa watu katereza kavunjika mguu
Apige kelele au vipi
Aombe msahada au asiombe
Alie au asilie mama yeyee yeiyee
Mwizi kaingia nyumbani kwa watu katereza kavunjika mguu
Apige kelele au vipi
Written by: Kwete Christian
instagramSharePathic_arrow_out