Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Joel Lwaga
Joel Lwaga
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Joel Lwaga
Joel Lwaga
Songwriter

Lyrics

[Verse 1]
Mavumbi umenifuta yote
Habari umebadili yotee
Machozi umenifuta yotee
Aibu umeondoa yotee
[Verse 2]
Umeniita mwana niliyekuwa mtumwa
Umenisimamisha katika wingi wa neema
Na umeniketisha mahali pa juu sana
[PreChorus]
Ninaucheka wakati uliopita
Nikiufurahia ule ujao
Ninaucheka wakati uliopita
Nikiufurahia ule ujao
[Chorus]
(Mara umenipa) Nafasi nyingne
(Umenipenda tena bila kukoma) Nafasi nyingine
(Neema yako imeniinua tena) Nafasi nyingne
(Umenipa tena bila kuchoka) Nafasi nyingine
[Chorus]
Mungu wa neema, (Mungu wa neema), aah, wa neema
(Mungu wa neema), aah, wa neema
(Mungu wa) neema, aah
Wa neema, neema, aah
[Verse 3]
Madaktari walisema sitapona tena
Walimu walisema nitafeli
Ndugu na jamaa walisema nimeshindika
Na kumbe wewe waniwazia mema
[Verse 4]
Umri uliposogea walisema ndoa si fungu langu
Nilipofiwa na mpendwa yule walisema sitaweza tena
Baada tu ya kufilisika sikumwoma wa kuniombea
Na kumbe ndani yao walifurahi niliyopotia
[PreChorus]
Ninaucheka wakati uliopita
Nikiufurahia ule ujao
Ninaucheka wakati uliopita
Nikiufurahia ule ujao
[Chorus]
(Mara umenipa) Nafasi nyingne
(Umenipenda tena bila kukoma), nafasi nyingine
(Neema yako imeniinua tena) Nafasi nyingne
(Umenipa tena bila kuchoka), nafasi nyingine
[Chorus]
Mungu wa neema, (Mungu wa neema), aah, wa neema
(Mungu wa neema), aah, wa neema
(Mungu) wa neema, aah, wa neema, neema, aah
[Chorus]
(Bwana umenipa) Nafasi nyingne
(Kweli umenipa), nafasi nyingne (Mimi nisiyestahili umeniipa)
(Umenipa) Nafasi nyingne
(Bwana umenipa), nafasi nyingine
[Chorus]
Mungu wa neema (Wa neema) aah, wa neema
(Ni wa neema) aah, (Nashukuru asante), wa neema, neema aah
Wa neema
Written by: Joel Lwaga
instagramSharePathic_arrow_out