Top Songs By Dj Franck Mato
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Dj Franck Mato
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Franck Kisenge Mato
Songwriter
Lyrics
Nikamatie nani hii mambo niko nayo mii
Hii mambo niko nayo mi ni ya mboka
Namlilia Mungu yoo ushiniacheko
Bingu iko wazi Baba si utende
Nikamatie nani hii mambo niko nayo mii
Hii mambo niko nayo mi ni ya mboka
Namlilia Mungu yoo ushiniacheko
Bingu iko wazi Baba si utende
Uko Mungu kabla ya we hakuna mwingine
Milele na milele we ndio Baba yetu
Kuishi tunaishi ni kwa neema yako tu
Uko Mungu kabla ya we hakuna mwingine
Wote wanakujanga kwako nabomba tupate
Bingu iko wazi Baba si utende
Si utende
Si utende
Si utende
Si utende
Si utende
Si utende
Nikamatie nani hii mambo niko nayo mii
Hii mambo niko nayo mi ni ya mboka
Namlilia Mungu yoo ushiniacheko
Bingu iko wazi Baba si utende
Uko Mungu kabla ya we hakuna mwingine
Milele na milele we ndio Baba yetu
Kuishi tunaishi ni kwa neema yako tu
Uko Mungu kabla ya we hakuna mwingine
Wote wanakujanga kwako naomba tupate
Bingu iko wazi Baba si utende
Si utende
Si utende
Si utende
Si utende
Si utende
Si utende
Si utende
Si utende
Si utende
Si utende
Si utende
Si utende
Written by: Franck Kisenge Mato