Top Songs By Alpha Rwirangira
Credits
COMPOSITION & LYRICS
Alpha Rwirangira
Songwriter
Lyrics
Nasema asante, nasema asante
Jana yangu naijua, kesho yangu si ijui
Kuna wengi waliopoteza maisha
Ila bado mimi niko hapa
Kila siku yangu ni zawadi
Nakushukuru Baba
Ntakushukuru Juma Tatu, hadi Juma Pili
Baba nasema asante
Hii dunia sio nyumbani, ipo siku tutaondoka
Jamani niacheni, leo ni siku yangu mimi
Leo ni siku yangu, aliyoniumbia Mungu
Asante, ewe Mungu wangu
Mambo hayachikaswa, nina shukuru
Biashara yako ikiyumbayumba, nitashukuru
Kuna waliokuwa na uwezo zaidi yangu
Ila wamesha tangulia
Siku ya leo ni zawadi, ooh
Ya kesho hujuwa Mola
Hii dunia sio nyumbani, ipo siku tutaondoka
Jamani niacheni, leo ni siku yangu mimi
Leo ni siku yangu, aliyoniumbia Mungu
Asante, ewe Mungu wangu
Kwa neema, naishi kwa neema Yako
Kwa neema, naishi kwa neema Yako
Kwa neema, naishi kwa neema Yako
Kwa neema, naishi kwa neema Yako
Written by: Alpha Rwirangira