Credits

COMPOSITION & LYRICS
Alpha Rwirangira
Alpha Rwirangira
Songwriter

Lyrics

Krisi meisi
She's calling you
Ninapo kwenda, sipajui
Ila nakuamini Wewe
Ninajua mkono Wako, utasimama namii
Ninajua kila hatua yangu, ukonamii
Sitaogopa ntacho kutana nacho
Wewe ni Mungu uliye mkamilifu
Wewe ni Mungu mwaminifu
Nimwamini nani? Kama sio Wewe
Ni Wewe, ni Wewe (ni Wewe, ni Wewe)
(Ni Wewe) oh, oh, (ni Wewe) ni Wewe, (ni Wewe)
Mmh, (ni Wewe, ni Wewe, ni Wewe) utakaye niongoza
(Ni Wewe) safari yangu (ni Wewe)
Huko mbele ntakutana na mambo yehe
Milima nayo nipande
Simba wenye hasira kali waungurume
Ili kuendelea niogope
Ninakuamini Wewe
Usiyeshindwa kamwe
Mbele yangu nakutanguliza
Safari yangu nifike salama, Wewe
(Ni Wewe, ni Wewe, ni Wewe) utakaye niwezesha
(Ni Wewe), ni Wewe (ni Wewe)
Mmh, (ni Wewe, ni Wewe, ni Wewe) utakaye niongoza
(Ni Wewe) safari yangu, (ni Wewe)
Ulisimama na Abrahamu, ukasimama naye Sara
Ulisimama na Daudi, ukasimama namii
Nakuweka mbele yangu, ooh
Nitafika, nitafika eeeh
(Ni Wewe, ni Wewe, ni Wewe) oh, ni Wewe
(Ni Wewe), ni Wewe Baba, (ni Wewe) oh, Baba wangu
(Ni Wewe, ni Wewe, ni Wewe)
Ni Wewe, (ni Wewe), ni Wewe, (ni Wewe)
Utanifikisha salama oh, ni Wewe (ni Wewe) ni Wewe (ni Wewe)
Oh, (ni Wewe, ni Wewe, ni Wewe) utakaye niwezesha (ni Wewe)
Ni Wewe, (ni Wewe) oh
Written by: Alpha Rwirangira
instagramSharePathic_arrow_out