Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Swat Matire
Swat Matire
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Boniface Mwangi
Boniface Mwangi
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Kavirus
Kavirus
Producer

Lyrics

Madawa madawa madrugs madrugs na drugs sai unajidrug juu ya drug
Ya drugs ya drugs
Ushakuwa dead juu ya drugs ya drugs ya drugs
Madawa madawa madrugs madrugs
Unadhani ninableki niko mbaya but siezi dunda
Niko mbaya but siezi dunda,niko mbaya but siezi dunda
Ukinicheki cheki unadhani nableki
Niko mbaya but siezi dunda
Niko mbaya but siezi dunda, niko mbaya but siezi dunda
Ukinicheki cheki
Kitambo love was blind, sai imetibiwa naona pesa na matako
Niko maji kama spongebob, niko maji niko water
Walai niko mbaya sai nastagger
Stagger stagger
Changanya makali ijipulize kivela
Kaveve kakizoza kubleki sibleki
Unadhani nableki niko mbaya but siezi dunda
Niko mbaya but siezi dunda,niko mbaya but siezi dunda
Ukinicheki cheki unadhani nableki
Niko mbaya but siezi dunda
Niko mbaya but siezi dunda, niko mbaya but siezi dunda
Ukinicheki cheki
Siongojeangi weekend mi hulewa kila day
Nangoja niregret ahaha be my guest
Wale wananijua wanajiua mi ni mtu madre
Na roho yangu inaitisha form sai
Bado kiasi ifike imebaki tu soo
Mi nishachanga madoo
Tutaka aje pale ka hatuna form
Hakuna leo mi siezi rudi home kwanza tuanzie ummo
Leo hata siongelei story ya kudoz
Unadhani nableki niko mbaya but siezi dunda
Niko mbaya but siezi dunda,niko mbaya but siezi dunda
Ukinicheki cheki unadhani nableki
Niko mbaya but siezi dunda
Niko mbaya but siezi dunda, niko mbaya but siezi dunda
Ukinicheki cheki
Umechanganya makali na naskizia kingwai
Kama umelemewa unaeza enda kwa ndaki
Na kama uko na taki usiogope tuko
Party party party party partyparty party
Madawa madawa madrugs madrugs na drugs sai unajidrug juu ya drug
Ya drugs ya drugs
Ushakuwa dead juu ya drugs ya drugs ya drugs
Madawa madawa madrugs madrugs
Unadhani ninableki niko mbaya but siezi dunda
Niko mbaya but siezi dunda,niko mbaya but siezi dunda
Ukinicheki cheki unadhani nableki
Niko mbaya but siezi dunda
Niko mbaya but siezi dunda, niko mbaya but siezi dunda
Ukinicheki cheki
Written by: Boniface Mwangi
instagramSharePathic_arrow_out