Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mejja Kunts
Mejja Kunts
Vocals
Abbah
Abbah
Performer
PRODUCTION & ENGINEERING
Abbah
Abbah
Producer

Lyrics

Kama Wote
Wui Dianna mimi naelewa, hio si sawa basi tulia,
Naumia naa oooh, sema kweli kama wanipenda ili niwe na wewe tu
Mimi nakupenda ili niwe na wewe tu, kama kweli wanipenda,
Mimi niwe na wewe tun mimi nakupenda, milele niwe na wewe tu
Dianna mimi na wewe, mpaka kilele, baby tuishi milele
CHORUS
Mnasemaje majita, kama wote, wazee wa kupita pita kama wote
Manyoka kibisa kama wote x2
VERSE 2
Nishalitia maji godoro ntalala tomorrow, we dada mwambie jirani sipendi ndombolo x2
Kwa nini nilewe inanitosha, kiza kinene naogopa kulala x2
We bwana ije bwana ije unaleta fungua kizibo
Mdogo mdogo navesha shamba kilimo
We upata heka heka uchimbe na shimo,
Kama undertaker miereka wamenuna
Sasa hivi wanacheka, huyo mpepe hajavesha
Usiyumbe yumbe kabisa, kwanza usije umelewa ukahisi umeonewa
We kama uko peace karibu hujazolewa kama una kesi hukumu utasomewa
Mbona na beer unaitamani, bado Sanaa acha matusi kutukana cheza gwanda
Kwanza ikibidi ruka sana, mjee juu si tupo sana, watoto wakalale yaani baadae sana
 
CHORUS;
Oooooh mwagia ndani, baba mwagia ndani, mapenzi yote mwagia ndani
Chakula cha watoto mwagia ndani, x2
Long time niko nae eh, bonnie n clyde, baby high to the sky
Turn me on tonight
Written by: Sweetbert Charles Mwinula
instagramSharePathic_arrow_out