Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
G Nako
G Nako
Vocals
Maua Sama
Maua Sama
Vocals
Abbah
Abbah
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Tin Starkid
Tin Starkid
Songwriter
Matsobane Chuene
Matsobane Chuene
Composer
Sweetbert Charles Mwinula
Sweetbert Charles Mwinula
Composer
Mzwakhe Mbuli
Mzwakhe Mbuli
Songwriter
Omary Ally Mwanga
Omary Ally Mwanga
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Abbah
Abbah
Producer

Lyrics

Long time mi niko nae, na penzi ni kama limeanza jana
Sometimes ananikera eh, nampea 'cause anawezana
Mafisi wanajihoki, wanataka penzi langu hawalipati
Ndio kwanza ye' ananiposti, wale wapambe ntawaposti
Tate nane, tumeshibana, eeh sa itakuaje tukitengana
Tukiongozana sio unaona, bibi na bwana si unaona
Tunavyopendana si unaona, supu kwa nyama si unaona
Boy now tell me what to do, boy I gat you on tattoo
Mwagia ndani, baba mwagia ndani, mapenzi yote mwagia ndani, chakula cha watoto mwagia ndani
Mwagia ndani, baba mwagia ndani, mapenzi yote mwagia ndani, chakula cha watoto mwagia ndani
Long time you and I eh, bonnie n clyde, baby high to the sky, turn me on tonight
Mangi ninagawa peremende, mti wangu una utamu wa tende, kanasemaga kanyaga twende, oh mama kafaga mende
Nauza nyumba bar tukayumbe, baba yangu nyumba kumi mjumbe
Mtoto simlindi kwa senyenge, mguse uchezee za chembe
Hapo ndo kinakuaga kimbembe, kazi-kazi na situmiagi tembe
Mguu juu shoot kulia ametulia, pasi napasia nakieka kwa kifua
Tukiongozana sio unaona, bibi na bwana si unaona
Tunavyopendana si unaona, supu kwa nyama si unaona
Boy now tell me what to do, boy I gat you on tattoo
Mwagia ndani, baba mwagia ndani, mapenzi yote mwagia ndani, chakula cha watoto mwagia ndani
Mwagia ndani, baba mwagia ndani, mapenzi yote mwagia ndani, chakula cha watoto mwagia ndani
Written by: Matsobane Chuene, Mzwakhe Mbuli, Omary Ally Mwanga, Sweetbert Charles Mwinula, Tin Starkid
instagramSharePathic_arrow_out