Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Afro Maniac
Afro Maniac
Vocals
Bazraguard
Bazraguard
Vocals
Bytar Beast
Bytar Beast
Vocals
Jaivah
Jaivah
Vocals
Marioo
Marioo
Vocals
Abbah
Abbah
Performer
PRODUCTION & ENGINEERING
Abbah
Abbah
Producer

Lyrics

12 Chibonge (Remix)
VERSE 1;
Lemme say hi Chibonge...Chibonge you're luck with ya pumpum tight
sub ni mi get live,stabing it all night
give me luv bwax skinny gal waan find me
we lift up now like Abbah wing fly
chibongee..ya clean inner ya jungle nah don't get
me got an eye but she a figure on it
me free for ya from Sunday to Sunday
so feel proud of ya body baby..mmh
chibonge wine..Chibonge wine
watch di gal dem do de Chibonge wine
Chibonge wine..Chibonge wine for me Chibonge you knew you are mine
Chaga gal do de Chibonge wine
Sukuma gal do de chibonge wine
Haya gal do de Chibonge wine
Ngoni gal dem are do de Chibonge wine
chibonge wine..Chibonge wine
African gal are do de Chibonge wine
CHORUS;
japo Chi chi chibonge a chi chi chi chibonge
chi chi chibonge…a chi chi chi chibonge
Ahh minyama tu akipita minyama
anatingisha minyama tu,vile akipita minyama
Ahh minyama tu akipita minyama
anatingisha minyama tu,vile akipita minyama
VERSE 2;
ahh..Tipwa tipwa tinga tinga
nasikia raha hizo manyama nikishikashika
umeshiba shiba ukipita pita
mwili mzima kila nyama inatikisika
manyam nyam manyama nyama
mautam tam aah kwa sana sana
unanipa hamu ya kupambana
nikununulie jeans za kubanabana
mtoto nyama nyingi chips kidogo
kama unabamia haufikii kibobo
anajikuna mbele hafikii kisogo
Chibonge mtu mbad hii ni logo
hii ndio ile inapinguza mwendo magari maana ni tuta
bolingo nangai ya Fally Ipupa
hili zigo uko nalo mama ni supa
nionyeshe kila kitu mama alikupa
umekula kuku mzima na soda bado unataka burger
ongeza kunona nona ili twende tukazivunje chaga
Chibonge mama..Chibonge mtu mbad
CHORUS;
Chi chi chibonge a chi chi chi chibonge
a chi chi chi chibone
Chi chi chibonge a chi chi chi chibonge
VERSE 3;
Mi kukukosa wewe wananiona bwege
hilo wowowo kirikuu nasimamia dede
nipe nipe mama fundi halilali zege
mi nipandishe mizuka nicheze reggae
VERSE 4;
Aah..Kwanza sura ya kitoto,shape ya kiboko
vidimpo dimpo shavunu akiangua kicheko
tukitoka mtoko,napiga simu moko
sipati taabu designer size Asha Boko
akisema anilalie kama nafanyiwa massage hivi
Mtoto akiinuka kama nimemwagiwa maji hivi
aagh Mola muumbaji wewe tena mpaji
mtoto wa moto shiishiwi hamu na midadi
huyo akikanyaga ardhi inatapatapa
mguuni anavikuku vile vikacha kacha
matuta nikipapasa,usiku tunazima taa
nilivyo mdogo kwa baridi ananifumbata
VERSE 5;
Aaah hana figure la kuchongeka ila, nyuma mzigo nadata wigigo wigo, kabonge kangu kamebongeka, mzito mzito kufuani mito mito
palala panalalika wee, analalamika aisee, chibonge anapika wee, simuweki number 2 chimbnge yuko juu, juu juu juu,
nikipima joto liko juu, utadhani kung fu, tembea na pu pu pu,
VERSE 6;
Sitaki donge kutema mabaya ndio kusema, akitembea ngoja nyuma ndio ianza tetema, eti wa kuvunja chaga ndio uanze kusema
watasema ngoja ngoma ianze tutwange sebena, akikoroma raha mi napenda yiga yiga, chibonge minyama nyama napenda shika shika
jigili ni jigi eh, taratibu imekolea big booty ni sweet, tatoo imekalia kwa chocho yaani mh, nampandia nyuma sexual looking good.
VERSE 7;
Lord have mercy, mtoto anataka nimbebe kama persey, mwepesi ka messi, oh god she is sexy kibonge mwepesi,
mtoto flexy ka wigo wigo, ana bonge la shape mzigo mzigo akipiga kimini watu pipo pipo, dalili hizo zote mtoto like,
ooh baby mama, leo nikiama, hilo shape bana, chibonge tingisha nyama njoo ule banana, weka weka we chibonge mama,
yeah its you yeh, its you yeah, chibonge mama chibonge mama
Written by: Afro Maniac, Bazraguard, Bytar Beast, Jaivah, Marioo, Sweetbert Charles Mwinula
instagramSharePathic_arrow_out