Top Songs By Abbah
Credits
PERFORMING ARTISTS
Afro Maniac
Vocals
Bytar Beast
Vocals
Hanstone
Vocals
Jaivah
Vocals
Abbah
Performer
PRODUCTION & ENGINEERING
Abbah
Producer
Lyrics
Wanga
TUNAUA WANGA, TUNAUA, X4
Wanga mtakoma nimepata doh, shayela ifoni ndwana you already know x2
VERSE 1
I been going round the city everyday, private lessons hungry belly everyday
now I gat the money spend it all the lavish way, now I see them bitches catching feelings four ways
na wanga walibana, ikashindikana, uthini umfana, nginga bantu umfana qagela impumelelo yaami, huwezi kushidana nami, my **** ntakuacha
njiani, namuamini Mungu na si shetani
CHORUS;
TUNAUA WANGA, TUNAUA, X4
Wanga mtakoma nimepata doh, shayela ifoni ndwana you already know x2
VERSE 2
Nilitamani kua famous toka mdogo futa kamasi, ukubwa shika mkasi mdogo mdogo kukata nyasi
steam za nyasi tulivuta kwa karatasi, sogea huko basi mbona unanigasi gasi,
ooh yeah nilishagombania ukoko, toka mdogo nilionekana kama kocho, ooh yeah mixer kuokota makopo kupendeza mpaka sikukuu ndio mtoko
ishavaaga pensi goroka, mara shati imetoboka, leo nanyoosha pasi jeanse inanyooka, nanukia unyunyu nanyuka
CHORUS;
TUNAUA WANGA, TUNAUA, X4
WANGa mtakoma nimepata doh, shayela ifoni ndwana you already know x2
VERSE 3
Na misumali mbao zipo leta nyundo tutoboe, msala msal leo wanga nachapa sioni hatarii
nilifundishwa kulowesha nililoe, nikila hasara nashushiaga bapa, wote wageni hata wenyeji wamealikwa,
pozi hatari tatizo ni mpiga picha ukuwa na wivu hatusupport that’s it, ni sawa kuona mpango wa kando anacatch feelings za main chic chic
CHORUS;
TUNAUA WANGA, TUNAUA, X4
WAnga mtakoma nimepata doh, shayela ifoni ndwana you already know x2
VERSE 3;
You know we made that shit, they call me Bytar B, mnakesha mkiroga si tuna play like this,
you wish to ball like we, you aint ball ati, vyote vitafanana ila sio akili,
tunafanya for money hatufanyi for show, party la kikubwa mpaka majogoo, nishasota sana nikiwaza before Abbah kwenye map you already know!
CHORUS;
TUNAUA WANGA, TUNAUA, X4
Wanga mtakoma nimepata doh, shayela ifoni ndwana you already know x2
Written by: Afro Magic, Hanstone, Jaivah, Sweetbert Charles Mwinula