Top Songs By Mapanch BMB
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Mapanch BMB
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Masoud Twalib
Composer
Lyrics
MY LOVE
Mapanch BMB ft. Marioo
Intro:
Niambie unacho feel love
Niko nawe toka chini gal
Verse 1:
My love ongeza unachonipa tuwaumize roho
Waambie sisi hatuna habari hiyoo ooh oh
Wanaomba tuachane nasikuachi ng’o skuachi ng’o
Utamu wa zabibu,
Uzuri wako pedi room,
Marashi ya karafuu,
Na una sura ya Aibu my love
Pre-chorus:
Niambie unacho feel gal,
Niambie unacho feel gal,
Unacho feel gal,
Nipo nawe toka chini gal,
Huu mchezo tutashinda, tutashinda
Chorus:
Me and you my love x8
Verse 2:
Nikupe kwa upande huu,
Ama kwa upande huu,
Jisevie hata panda kwa juu,
You love me I love you too,
Baby baby mi na we
Situmeapa hatuachani,
Baby baby mi na we nakuachana haviendani,
Usiniweke roho juu oh baby boo,
Pre-chorus:
Niambie unachofeel gal,
Niambie unachofeel gal, unachofeel gal
Niko na we toka chini gal,
Huu mchezo tutashinda, tutashinda,
Chorus:
Me and you my love x 8
Written by: Masoud Twalib