Music Video

9ISAA x WANDETHEFUSS - La Cuenta (Official Music video) 🎥Shotsbytian
Watch 9ISAA x WANDETHEFUSS - La Cuenta (Official Music video) 🎥Shotsbytian on YouTube

Featured In

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Mark S. Wandera
Mark S. Wandera
Songwriter
Trevor N. Tissa
Trevor N. Tissa
Songwriter

Lyrics

Me nilidhani ni me bambwa
Niligongwa na sanse na mbanger
Nilishikwa na beat na ua mistari safi na vitu mature mature
Ma rat wali ni seti kwa Cop mistari na murder na bado na fungwa fungwa
Me champe kutoka tu tene na mada na kuja nika  kafunga kafunga
Ka Olunga na penda ku dunga mabao ndo vitu na dunga dunga
Pia luku napenda kudunga lakini napenda vitu mature
Me si doc jooh sina patients
Ka ni app ita bidii u me pay rent. ju vile nateka wana dhani ni rental
Ka ni zichi ana pelekwa Mental
Ju Coke alijaza aka weka tu Mentos
Me mkali na cheza ka Kratos
Waki kuja na wa fanyia bebos
Adios ndo mambo ya lagos
Ni Saka alicheza aka wachia label
Piga tick hio nike ni label
Ku disable wale haters
Me ndo King na wachezea stepper
De ja vu ina fanya viva
Ati Don me ni king Don don
Uki come na wafanyia tu ma favors
Uki come na wa skip ka hio logo ya puma
Come na dior niache kukutuma kuja na fork uni achie tu uma
Hammer na Porshe ndo vitu tuna uaa
Eiiii Mambo shwari acha 10k
Eiiii Mali safi kutoka tenee
Eiiii Hit sqaud ni kali double 07
Eiiiiii na ka una panic acha mambo
Wacha
Prrr
Pow
Wale wali kuja na story ya Cover
Me nili ruka ati story Nacada
Kumbe ni Post ndo me na cover
Kama ni Beef yoh sitaki hio nyama
Me si msick jooh sitaki madawa
Na kama ni Shawrie hakuna lawama krr
Mbogi ni Zello hakuna ma gwangi
Mwangi ni nani apewe tu mali
Kama ni slim jooh acha iende
kama ni paint jooh we gone crown it
Ain't no capping tuko na moves
Pale ni bally hakuna udu
Straight to the point hakuna udu
Na kama una ngori jooh enda kwa Booth
Aye mambo shwari acha Ten K
Aye
Mali safi toka tenee
Aye
Ii squad ni kali double 07
Aye
Na ka unapanick acha mambo
Bei ya mnganazi wahala so ni majagi ukizama
Seriousnessi ka madrassa uku usikuje na drama
No
Lima ii beat say whose your farmer
Vede na 9issa uku huwafanya
Nganya panda ka ni manyanga
Steady ni ka bei rush hour
Buda unarisk
Pow pow
Nikiface ii side unastrap my back always unatry kunipress
Ni wave si tide ukikam ii side tuna kureach out ndio uflex
Ukiget symptoms za ma G ii song
Na ma flow ziko mingi moja moja switch on
Keep on ka ni mboka haitalipa equal
Kila day niko shughli ndio maana mahit mob
Hit mob Hit man
Si ni mabeast so aa mashawty walizuanga tuwa
Sai ju mboka inashika nare wanadai ati whose your darling ati feels ziko pahali
Wande jibu tu swali
Mi ka Yasa naziacha wazi
Wazi wazi
Aye mambo shwari acha Ten K
Aye
Mali safi toka tenee
Aye
Ii squad ni kali double 07
Aye
Na ka unapanick acha mambo
DREADNOTES
Written by: Mark S. Wandera, Trevor N. Tissa
instagramSharePathic_arrow_out