Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Novahhbwoy
Novahhbwoy
Performer
Rayvanny
Rayvanny
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Rayvanny
Rayvanny
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Novahhbwoy
Novahhbwoy
Producer
Mocco Genius
Mocco Genius
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Baby baby ayi, ayi, ayi
Michepuko ya zamani bye, bye, bye
Mi najidai dai, dai, oh we subiri shera dai, dai, dai
Zungusha pepeta ungo, nipe mambo yakizania mafumbo
Geuka onyesha umbo, jiachie wala usibane tumbo
[PreChorus]
You're forever be my always (Aya yeh)
Cake of my birthday (Aya ye)
Director of my always, baby you turn Thursday to be holiday
We ndio kiboko wa chunusi na harara, we zaidi yao (Hao)
Sura yako hata ukitoka kulala bado zaidi yao
[Chorus]
Basi kata taratibu (Kiuno)
Kiuno cha pakashungu (Kiuno)
Pangaboy feni bovu (Kiuno)
We pinda mpaka mugongo (Kiuno)
Nipe uno la uzazi (Kiuno)
Mpaka chini kwa udongo (Kiuno)
Basi kati- katika (Kiuno)
Kama unatokea kongo (Kiuno)
[Verse 2]
Kanitesa Suzy eh, kanitesa Monica
Kanitesa Shuvele, kanitesa Wini eh
Ila si wewe, wewe, wewe mama, mama
Mhh shivonipele
[Verse 3]
Ya wawili mapenzi oh, watatu siwezi oh
Usisikie maneno maneno maporojo watakuumiza roho-roho, roho-roho, roho oh
Ya wawili mapenzi oh, watatu siwezi oh
Usisikie maneno maneno maporojo watakuumiza roho-roho, roho-roho, roho oh
[Bridge]
Maliza eh, maliza eh, (Mama nipe yote)
Taamu (Nipe yote-yote)
Maliza eh maliza, eh
[Verse 4]
You're forever be my always (Aya yeh)
Cake of my birthday (Aya ye)
Director of my always, baby you turn Thursday to be holiday
We ndio kiboko ya chunusi na harara, we zaidi yao (Hao)
Sura yako hata ukitoka kulala bado zaidi yao
[Chorus]
Basi kata taratibu (Kiuno)
Kiuno cha pakashungu (Kiuno)
Pangaboy feni bovu (Kiuno)
We pinda mpaka mugongo (Kiuno)
Nipe uno la uzazi (Kiuno)
Mpaka chini kwa udongo (Kiuno)
Basi kati- katika (Kiuno)
Kama unatokea Congo (Kiuno)
[Outro]
Tupate moja moto moja baridi (Cheza-cheza bila kutoka jasho)
Nyama choma supu ya digi-digi (Cheza-cheza bila kutoka jasho)
Kibosi-bosi kipedeshee (Cheza-cheza bila kutoka jasho)
Tumia pesa ikuzoee (Cheza-cheza bila kutoka jasho)
Written by: Rayvanny
instagramSharePathic_arrow_out