Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Nandy
Nandy
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Faustina Nandera Charles Mfinanga
Faustina Nandera Charles Mfinanga
Songwriter

Lyrics

I say beiby we ndo unanifaa
Kukuwacha siwezi wala kukukataa
I say beiby ooh we ndo unanifaa
Kukuwacha siwezi wala kukukataa
Nilikuomba beiby, uwe nami, beiby am your darling
Ulikubali beiby, kuwa mami, hubby am your darling
Beiby ooh (Nataka uwe nami), beiby ooh (For you I"m loosing control)
Beiby ooh (Nataka uwe nami), aah eeh ooh na yeah, yeah

Lakini bado (Nagusa gusa), bado (Nagusa gusa)
Lakini bado (Nagusa gusa), nagusa, nagusa eeh
Lakini bado (Nagusa gusa), bado (Nagusa gusa)
Lakini bado (Nagusa gusa), yeah eeh (Nagusa, nagusa eeh)
Amenifaa amenipa mimi faida kwenye penzi lake sijagwiba
Sihitaji mwingine wa kunipa tiba, bado sijamwona mwingine atayenifaa
They can say am nothing to you, but you know I like to excuse for you
Ju wanijua, nakujua wewe
Wanijua, nakujua wewe-wewe
Beiby ooh (Nataka uwe nami), beiby ooh (For you I"m loosing control)
Beiby ooh (Nataka uwe nami), aah eeh ooh na yeah, yeah
Beiby ooh (Nataka uwe nami), beiby ooh (For you I"m loosing control)
Beiby ooh (Nataka uwe nami), aah eeh ooh na yeah, yeah
Lakini bado (Nagusa gusa), bado (Nagusa gusa)
Lakini bado (Nagusa gusa), nagusa, (Nagusa eeh)
Lakini bado (Nagusa gusa), bado (Nagusa gusa)
Lakini bado (Nagusa gusa), yeah eeh (Nagusa, nagusa eeh)
Nagusa gusa
Nagusa gusa
Nagusa gusa
Nagusa, nagusa eeh, nagusa gusa
Nagusa gusa
Nagusa gusa
Nagusa gusa, nagusa, nagusa eeh
Written by: Faustina Nandera Charles Mfinanga
instagramSharePathic_arrow_out