Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Ambassadors of Christ Choir
Ambassadors of Christ Choir
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ambassadors of Christ Choir
Ambassadors of Christ Choir
Composer

Lyrics

Tunayo furaha moyoni kuwa nanyi wapendwa
tutafurahia ajabu tutapokua washindi
twapaona kwa mbali karibu tutafika
ni ng'ambo ya mto hapo ni nyumbani kwetu
Bwana wetu Yesu kaketi kwenye kiti chake
anatuombea kwa Baba ili tuwe washindi
twapaona kwa mbali karibu tutafika
ni ng'ambo ya mto hapo ni nyumbani kwetu
Tutamlaki tukiuimba wimbo wa Musa
tukisema haleluya Yesu asifiwe amina
twapaona kwa mbali karibu tutafika
ni ng'ambo ya mto hapo ni nyumbani kwetu
Written by: Ambassaders Of Christ
instagramSharePathic_arrow_out