Featured In

Credits

COMPOSITION & LYRICS
The Nest Collective
The Nest Collective
Songwriter

Lyrics

Kenya One ndio huyo njiani, teke teke, barabara weka lami
Na uchafu jo, mfiche kwa kabati, na mhakikishe mmepaka rangi
Nataka tu kuona tai na mashati, hao ma-hawker wapeleke huko mbali
Kisirani ndogo-ndogo hatutaki, changamka serikali wana-come
Mister President, how can you ever know what's going on outside of your itinerary
Coz generally the people around you, they go ahead of you
Cleaning and weeding any and everything too revealing of the true state of things the potholes, the sins
Trafficking, the guns, the spilling of innocent blood
You fly past in your convoy, like an envoy (First class), will you ever touch the ground? Mister President, barely resident
Kenya One ndio huyo njiani, teke teke, barabara weka lami
Na uchafu jo, mfiche kwa kabati, na mhakikishe mmepaka rangi
Nataka tu kuona tai na mashati, hao ma-hawker wapeleke huko mbali
Kisirani ndogo-ndogo hatutaki, changamka serikali wana-come
Ule chali amepanda bus kutoka kule mashinani
Anadai ati ako na maswali, (Serikali, wapi mali?)
Tafadhali hizo maswali, peleka huko mbali nami
Na ukileta fujo tutakuweka ndani, Kasarani, tuseme umebeba bhangi, ile ulivuta na mwenzako Bonnie Mwangi
Uko tao mnapaka rangi hadharani, mlipewa pesa na walami mkadhani mngeweza kutubabaisha, namna gani?
Nyi ndio nani? Wacha zako, hio na vako, mtajua serikali si ya mama yako
Ingia ndani ufirwe kavu kavu kwa matako, tunajua style yako
In the meantime hapa nje kazi iendelee, and in the future ukicheki convoy, lazima unyenyekee
Kenya One ndio huyo njiani, teke teke, barabara weka lami
Na uchafu jo, mfiche kwa kabati, na mhakikishe mmepaka rangi
Nataka tu kuona tai na mashati, hao ma-hawker wapeleke huko mbali
Kisirani ndogo-ndogo hatutaki, changamka serikali wana-come
Come, come, come, come again
Saa ya campaign ulikuwa my best friend, ahadi nyingi nyingi under false pretence, ukiingia ofisi unaturusha deep end
Come, come, come, come again, umezungukwa na wezi, it has to be said
You learn a lot about a man if you look at his friends, it's your turn to eat when will this shit end?
Mtukutu Rais sidhani unatuskiza, hio ganji mnasanya ni sisi tutalipa
Ushuru inatufinya hali ya maisha, huku chini si siri watu wanahangaika, ni lini mtaaacha kutubeba wajinga
Daktari wa Kenya mnashindwa kulipa, lakini wa Fidel mnawakaribisha
Madharau ndogo ndogo ndio unatufanyia, unanizoea na mi ndio nilikupea kazi?
Mnaniuliza ufanye nini juu ya ufisadi? Mbona uli-run na unajua hauwezani? Hii nchi kusema kweli inaongozwa na nani?
Na, na, nani atatuambia pahali pa kupata, wa kutusaidia
Punda imechoka-choka kuvumilia, Rais akikuja, mi mwenyewe nitamwambia
Kenya One ndio huyo njiani, teke teke, barabara weka lami
Na uchafu jo, mfiche kwa kabati, na mhakikishe mmepaka rangi
Nataka tu kuona tai na mashati, hao ma-hawker wapeleke huko mbali
Kisirani ndogo-ndogo hatutaki, changamka serikali wana-come
Kenya One ndio huyo njiani, Kenya One ndio huyo njiani
Written by: The Nest Collective
instagramSharePathic_arrow_out