Lyrics
[Verse 1]
Pesaa
Pesaa
[Verse 2]
This city will make you chase it
Every day trying not to be basic
Being broke, I hate it
[Verse 3]
Fiend for the paper gotta have it I'm shakin'
On my mind more than usual
Hakuna kitu mi siwezi fanya brathe
And I can never be frugal
[Verse 4]
Maisha Nairobi ni fupi aiseh
Nilizaliwa bila hatukuwa na skrilla
Siwezi kufa maskini hapana, duu, bilaz
Nataka Adidas, Nike na Fila
Matha anadai dinga, lazima biz itaiva aah
[Verse 5]
So kenye unataka, brathe mi nitauza
Juu wananidai rent, nisipo ntafukuzwa
Fake money, drug money
Gun money, it's all the same
Fake deeds, a lotta weed
Contraband, I'm not to blame
[Verse 6]
We are not the same, I chose this path, payback
Pesa by any means, If you know what I mean
We run things, control the scene
Nilitoa wapi gari na sifanyi kazi
Mi ni jam, jam, jambazi
[PreChorus]
Pesa (Pesaa, pesaa, aah)
Pesa (Pesaa, pesaa, aah)
Pesa (Pesaa, pesaa, aah)
Pesa (Pesaa, pesaa, aah)
[Chorus]
(Pesa, pesa, pesa) Who got that?
(Pesa, pesa, pesa) Gotta get that mullah, skrilla, ganji
Paper chaser
(Pesa, pesa, pesa) I need that
(Pesa, pesa, pesa) You want it
(Pesa, pesa, pesa) Mi nataka dough, chwa, mafuta, chapaa
(Pesa, pesa, pesa) Gotta have it
[Bridge]
Pesa
Pesa
[Verse 7]
I'm so hashtag blessed, hashtag fit-life
Hashtag winning, hashtag live right
I don't have to struggle with that 9 to 5 life
Drink my slim tea, wacha niku-train
Hii life ukitaka ku-make dough, lazima uflex, jo
Ufungue macho, opportunity ziko
Hustle kila mahali, hii game ni kusaka
[Verse 8]
Social media ikue na content
More likes, more mentions
Watu wakupee attention
Na later utakuwa na pension
There's a fine line between truth and lies
To get the answer, like and subscribe
Follow on Insta for motivation
Follow on Twitter for hateration
[PreChorus]
Pesa (Pesaa, pesaa, aah)
Pesa (Pesaa, pesaa, aah)
Pesa (Pesaa, pesaa, aah)
Pesa (Pesaa, pesaa, aah)
[Chorus]
(Pesa, pesa, pesa) Who got that?
(Pesa, pesa, pesa) Gotta get that mullah, skrilla, ganji
Paper chaser
(Pesa, pesa, pesa) I need that
(Pesa, pesa, pesa) You want it
(Pesa, pesa, pesa) Mi nataka dough, chwa, mafuta, chapaa
(Pesa, pesa, pesa) Gotta have it
[Verse 9]
Msidhani tu nilizaliwa blessed, ni hard work na bidii tu
Weka Mungu mbele 'takuinua juu, si ku-pop bottles kwa kilabu
Nili-bid tender jana na ishaiva, matunda za Yesu zishajipa
[Verse 10]
Ni baraka tu si ndumba, niki-smile kuna watu wananuna
Wanataka kuwa pahali niko ki maisha
Wengi wenu form ni kujistaraabisha
[Verse 11]
Shida yetu kenya tulioza kitambo, tangu ukoloni mpaka saa hii
Hakuna haja kujifanya si wazuri, hadi tulipeana Kimathi
Hapa kwetu kujuana ni lazima, kuinuana, kuskizana
Biashara bila chai ni hatia, peana bahasha zimejaa mamita
Kama huna networks, basi iza
Basi iza, jo (Pesa)
Basi iza (Pesa)
Basi iza
[PreChorus]
Pesa (Pesaa, pesaa, aah)
Pesa (Pesaa, pesaa, aah)
Pesa (Pesaa, pesaa, aah)
Pesa (Pesaa, pesaa, aah)
[Chorus]
(Pesa, pesa, pesa) Who got that?
(Pesa, pesa, pesa) Gotta get that mullah, skrilla, ganji
Paper chaser
(Pesa, pesa, pesa) I need that
(Pesa, pesa, pesa) You want it
(Pesa, pesa, pesa) Mi nataka dough, chwa, mafuta, chapaa
(Pesa, pesa, pesa) Gotta have it
[Outro]
Pesa
Pesa
Written by: The Nest Collective