Lyrics

J4d Sound Aaah vitamin yooo Adasco M2 M'bad Oya ukiambiwa mi malaya wala sio uongo uwo Mapenzi yenyewe yananichanganya ubongo uwo Minakupenda unanipenda kwa uongo uwo Umenimiss unanimiss kimchongo uwo Nami na moyo mama sio jiwe ooh Mengi uliyofanya naumia rohoo Nami na moyo mama sio jiwe ooh Mengi uliyofanya naumia rohoo Oya mi muongo mi muongo Oyaa nakunywa pombe na vuta bange Nafanya dhambi na wapeleka kwa mparange Siachi kwenda club siachi kwenda ulabu Nitawapa sana tabu wanaopenda pesa ooh Oya mi muongo mi muongo Nikisema nakupenda mi muongo Sina mapenzi ya kweli mi muongo Nina chembe za utapeli mi muongo Ukinipenda umefeli mi muongo Oya mi muongo mi muongo Oya mi muongo mi muongo Oya mi muongo mi muongo Oya mi muongo mi muongo Oya nasema ukweli ila kama uongo uwo Nilivyoimba vyote si kweli uongo uwo Oya mi muongo mi muongo Oya mi muongo mi muongo Nilivyoimba vyote si kweli uongo uwo Nilivyoimba vyote si kweli uongo uwo Oya mi muongo mi muongo Oya mi muongo mi muongo Oya mi muongo mi muongo M2 Mbaad
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out