Music Video

Kupendwa ni Gharama - Neema Mwaipopo (Official Music Video).
Watch Kupendwa ni Gharama  -  Neema Mwaipopo (Official Music Video). on YouTube

Credits

PERFORMING ARTISTS
NEEMA MWAIPOPO
NEEMA MWAIPOPO
Performer
COMPOSITION & LYRICS
NEEMA MWAIPOPO
NEEMA MWAIPOPO
Songwriter

Lyrics

Oh niwewe Niweewee Niweewee Niweewee unaetuwezesha Niweewee Niweewee Niweewee... unaetuwezeshaa Oh niwewe Niweewee Niweewee Niweewee unaetuwezesha Niweewee Niweewee Niweewee... unaetuwezeshaa Ee Mungu nakushukuruuu Kwakunifikisha hapaa Sio kwa uwezo wangu Ninajua ni wewee... Mwanadamu hakuwezaa Mataifa yalishindwaa Lakini kwamkono wakooo Nimesimama tena Ee Mungu nakushukuruuu Kwakunifikisha hapaa Sio kwa uwezo wangu Ninajua ni wewee... Mwanadamu hakuwezaa Mataifa yalishindwaa Lakini kwamkono wakooo Nimesimama tena Niweewee Niweewee Niweewee unaetuwezesha Niweewee Niweewee Niweewee... unaetuwezeshaa Niweewee Niweewee Niweewee unaetuwezesha Niweewee Niweewee Niweewee... unaetuwezeshaa Katika familia yetu Tuliozaliwa wengii... Wengine walishakufaa Lakini mimi ni haiii Sikwamba nilitenda mema baba Yakupendeza machoni pakoo Najua nikwaneema yakoo Niko hai tena Katika familia yetu Tuliozaliwa wengii... Wengine walishakufaa Lakini mimi ni haiii Sikwamba nilitenda mema baba Yakupendeza machoni pakoo Najua nikwaneema yakoo Niko hai tena Niweewee Niweewee Niweewee unaetuwezesha Niweewee Niweewee Niweewee unaetuwezesha Niweewee Niweewee Niweewee unaetuwezesha Niweewee Niweewee Niweewee unaetuwezesha Shuleni nilikosomaa, Nilikuwa nawenzangu wengii, Wengine walishakufaa Lakini mimi ni hai, Sikwamba nilifanya memaa Nawao walifanya mabaaya, Najua nikwanema yakoo, Sijui nikulipe nini Shuleni nilikosomaa, Nilikuwa nawenzangu wengii, Wengine walishakufaa Lakini mimi ni hai, Sikwamba nilifanya memaa Nawao walifanya mabaaya, Najua nikwanema yakoo, Sijui nikulipe nini. Hallelujah!! Niweewee Niweewee Niweewee unaetuwezesha Niweewee Niweewee Niweewee unaetuwezesha Niweewee Niweewee Niweewee unaetuwezesha Niweewee Niweewee Niweewee unaetuwezesha Uugh uugh uuuh Uuugh uuuugh uuuugh... uugh uugh uuuh uuugh uuuugh uuuugh... Uugh uugh uuuh Uuugh uuuugh uuuugh... Uugh uugh uuuh Uuugh uuuugh uuuugh...
Writer(s): Ommy Dimpoz Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out