Lyrics

Bobo Made it Tamba pande zako, pande zetu hautambi Tamba pande zako, pande zetu hautambi Kama ulikua hujui hiki kichwa kina mgodi hauwezi tosha Na hii nafasi hawaipati ndio kwanza ninawanyoosha Leta undwanzi tukuletee posa Na bars zinakuja na upako kama ni za mwamposa Yes nakuacha uninyenyekee unafaa uwe muumini wa kanisa Unaona hizi lines hazipindi pindi nazipanga na zinapangika Bobo kapiga mdundo kafanya uwapate wachawi wakitikisa kichwa Huwezi kuwa mwamba na hit moja za kwangu ziko kama tisa Baada ya hii nadondoka Ghana nakwenda tuu kuchora tattoo Wanaojifanya wana moyo safi bado hawajakutana na babuu (Wakifaa) Hii itawafanya wafumbe midomo utadhani mateja wa Tambuu Nani hajui kuwa styles za kwao ni famba za kwangu ni chambuu Flow ni nyingi sana rasta, utakaa sana Muonekano huna mi mwenzako nimekaa star Flow zao za siku nyingi yani zimechacha Acha mchezo na mi mwenzako kuna kitu kichwani hakijakaa sawa Ifike time dunia ijue ukweli kuwa hamnipendi Na hilo kwangu hata sio tatizo kwa sababu napendwa na wengi Njaa ni mbaya na iyo sasa ni moja ya kitu mi ambayo sipendi Smart sana mpaka nikivua nguo napiga mahesabu kishenzi Pesa inafanya watoto wadogo ukiwatuma dukani hawarudishi chenji Siwezi kusahau kipindi mfukoni patupu nakosa hata ten Gs Wewe na shobo alafu shobo na wewe Sishangai unavyopenda kutrendi Wale wanangu wa baba mmoja siwezi kuitambia OMG full stop Kwenye hustle pain ipo right Wote rappers but we are not equal why Stimu mpya same kiko Pisi nazo zipo nyingi natembeza spakoz (Spanking) Rap ya kwangu na wala sio ya kila mwenye mdomo Hata punch zangu za kuzihofia kuwa napiga kwenye mshono Pia watu wenye wanaowasifia kwa hili nawafunga mdomo Level za kwangu nacheza na kobe Kwenu nyie ni kono kono Alafu sasa nachonga na njia Ili rappers wengine wawahi masomo Wanaweza vipi kusikilizia wakati umefika kikomo Kama biashara yenyewe ya kunga unga Promota hausiki na promo Watoto wazuri wote ni malaika kamuulize Ricardo Momo(Simo) We mtata au vipi, unawatisha sasa mbona hata hautishi Ningekuwa uzazi wa mpango ungekuwa hau exist Sio mbaya unaweza kujiimbia coz hauskiki (Stupid) Ulizania barua ulioituma nitaijibu Hapo nikajua kuwa wewe fungu la kukusa na huoni aibu Chagua moja ukae mbali sana au ukae karibu Ili utoke inabidi niwepo nafikiri ushapata majibu Na nyie wengine wote nadhani inabidi mniskize kwa ukaribu Ukikaa mbaya mi nakutumbua tuu ubaya silei majipu Ubize unafanya nakesha nikitumbua macho silali usiku Sie wengine wasikilizaji tuu radio za kina Chibu Wooooah we ukazi sio spana Iko wazi niliua challenge ya yes bana Utandandawazi ndio unafanya tunaishi kwa drama Sifa nyingi mitandaoni na anaishi kwa mama Oooh, ndio basi ushakwama Bando si ni sawa na bure endelea kunitukana Haunivishi haunitishi huogopeshi mwana We unatubu si tunacheza na cash rubbers Sawa vyote tunaita michano ila hii hapa ni next levels Kabla sijaingia kwenye industry niliusoma mchezo Naendelea kufanya bomba coz I'm so special Special kwa kizazi hiki Na hata kizazi cha bum bap bum bap Usiombe nikipita kwenye hizi bum bap Washtue na wenzako mje mjifunze kumbaf Watajitahidi ila hawatochania bum bap kama mimi nah! Focus na kibunde stucking on my dreams Studying on your face na nimegonga timbs Ying ying tishia hawa watoto zaidi ya crime scenes Mipango ndio kitu ambacho naongea na brands nyingi Sio tu kwa rappers ubaya I'm against to everything Stress kwetu zinachapwa na glass ya Hennessy Na vichwa vyenu vibovu vifanyiwe counselling You sound demo unyama unaofanyika hapa ni masterpiece Na nilichofanya huwezi ita diss ni more than diss Wajumbe wa nyumba kumi wananitambua I run the streets Ubishi wa nani mkali okay let's go I like that Ila hii mic itupwe hakuna ataeweza kuspit on it like this Sina mshikaji, mshikaji wangu kipaji Nafanya biashara ya mziki na mtaji wangu hizi kazi Na maokoto ni shazi, chiki chiki kizazi Naanzisha ugomvi afu kama sihusiki nakuachia tagi Boss vagi ni vagi, kichwa kikubwa afu maji Naimba maisha ninayoishi bro, huwezi ukaita ni bragging Nahonga sana watoto ila huwezi ukaita ni zaddy Unaeza ukafanya uchizi wako ila usisingizie bangi Mi napita kwenye trap mi napita kwenye drill Mi napita kwenye vibe hata ya bts Mi napita kwenye njia ambayo we uliambiwa usipite Ukapita kwa mistake Mi napita kwenye beat za ujazo Mi napitia kwenye beats za kuturn up bitches Nishapita kwenye miba, nshafika kwenye bustani Mnachotaka maua niyanuse Usiishie kufa I pray to God u go to hell sucker Ukiingia town kwa kuvamia inakuwa kama vile umeingia chaka Natokea East ila kusini wameshaanza kunipatapata I want boy Blxckie, I want K.O wanna go Nasty C on Casper I wanna go black on Black Bonez Nataka niende speed ka Busta Mimi mmoja tuu kati ya hawa milions wanaojiita rappers Ukiacha kufanana mwanzo wa jina u got nothing else Wewe ndege ya abiria mimi motherfuking private jet Kuna kuchoka katika game sometimes ipo My bad mlidhania nitapotea lakini nipo Kuna vitu wala haviitaji udhibitisho Mi namba moja, mi namba mbili, mi namba tatu na ndio mwisho
Writer(s): Rashidi Shabani, Young Lunya Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out