Lyrics

Oooh Moyo wangu wakuadhimisha wewe Maana umeijaza amani yako Umehakikisha kwako niko salama Umehakikisha nimejazwa pendo lako Kwako nina ujasiri, nina furaha ipitayo zote Kwako nina ujasiri, nina furaha ipitayo zote Nakupenda wewe Nakwitaji wewe We ndo kimbilio Langu la pembeni Nakupenda wewe Nakwitaji wewe We ndo kimbilio Langu la pembeni Mi nende wapi? Mi nende wapi? Furaha yako ndio nguvu yangu Furaha yako ndio nguvu yangu Mi nende wapi? Mi nende wapi? Furaha yako ndio nguvu yangu Furaha yako ndio nguvu yangu Mbaa Hee Hosanna Hosanna ndio jina lako Ulieianzisha safari yetu Mikononi mwako ukatuchora Na hemani mwako ukatuweka Kwa maana kwako Mungu nitatumika Kwa maana kwako Mungu nitanyenyekea Kwa maana kwako Mungu nitatumika Kwa maana kwako Nakupenda Usiebadilika Nakupenda Ulochanzo cha yote Nakupenda Jemedari wangu Nakupenda ulo-mwamba imara Nakupenda Usiebadilika Nakupenda Ulochanzo cha yote Nakupenda Jemedari wangu Nakupenda ulo-mwamba imara Nakupenda wewe Nakwitaji wewe We ndo kimbilio Langu la pembeni Nakupenda wewe Nakwitaji wewe We ndo kimbilio Langu la pembeni Nakupenda Usiebadilika Nakupenda Ulochanzo cha yote Nakupenda Jemedari wangu Nakupenda ulo-mwamba imara Nakupenda wewe Nakwitaji wewe We ndo kimbilio Langu la pembeni Oooh
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out