Lyrics

Nani kama mama? Katika hii Dunia Kwa mapenzi na huruma Mfano hajatokea Nani kama mama? Katika hii Dunia Kwa mapenzi na huruma Mfano hajatokea Mama Mama Kipenzi cha moyo wangu Faraja ya moyo wangu Kipenzi cha roho yangu Amenikirimu mungu Ni mama Ni mama Ni mama Ni mama Ufunguo wa maisha yangu Na dhamana ya pepo yangu Ni mama Faraja ya moyo wangu Kipenzi cha roho yangu Amenikirimu mungu Ni mama Hata ukiwa na dhiki Mama yako hakutupi Kukucheka hadiriki Ni mama Hata ukiwa na dhiki Mama yako hakutupi Kukucheka hadiriki Ni mama Haijalishi ntavokuwa mama utanipokea Mzuri au mbaya Wewe hutonibagua Haijalishi ntavokuwa mama utanipokea Mzuri au mbaya Wewe hutonibagua Chuo changu cha kwanza Ni wewe wangu mama Maadili umenifunza Ili niwe mtu mwema Maadili umenifunza Ili niwe mtu mwema Rabbi umrehemu daima mama yangu Kila lake gumu Mfariji mola wangu Mama yangu umrehemu Nakuomba Mola wangu
Writer(s): Mubarak Atigh Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out