Lyrics
Jambo, jambo bwana, habari gani? Nzuri sana
Wageni wakaribishwa Kenya yetu hakuna matata
Jambo, jambo bwana, habari gan?, Nzuri sana
Wageni wakaribishwa Kenya yetu hakuna matata
Jambo, jambo bwana, habari gani? Nzuri sana
Wageni wakaribishwa Kenya yetu hakuna matata
Jambo, jambo bwana, habari gani? Nzuri sana
Wageni wakaribishwa Kenya yetu hakuna matata
Kenya nchi nzuri (hakuna matata)
Nchi ya kupendeza (hakuna matata)
Nchi ya maajabu (hakuna matata)
Nchi yenye amani (hakuna matata)
Kenya nchi nzuri (hakuna matata)
Nchi ya kupendeza (hakuna matata)
Nchi ya maajabu (hakuna matata)
Nchi yenye amani (hakuna matata) riiba
Jambo, jambo bwana, habari gani? Nzuri sana
Wageni wakaribishwa Kenya yetu hakuna matata (ayeya)
Jambo, jambo bwana, habari gani? Nzuri sana
Wageni wakaribishwa Kenya yetu hakuna matata
Bassi slow
Alright
All is ok mama
Jambo, jambo bwana, habari gani? Nzuri sana
Wageni wakaribishwa Kenya yetu hakuna matata
Jambo, jambo bwana, habari gani? Nzuri sana
Wageni wakaribishwa Kenya yetu hakuna matata (riiba)
Kenya nchi nzuri (hakuna matata)
Nchi ya kupendeza (hakuna matata)
Nchi ya maajabu (hakuna matata)
Nchi yenye amani (hakuna matata)
Kenya nchi nzuri (hakuna matata)
Nchi ya kupendeza (hakuna matata)
Nchi ya maajabu (hakuna matata)
Nchi yenye amani (hakuna matata)
Jambo, jambo bwana, habari gani? Nzuri sana
Wageni wakaribishwa Kenya yetu hakuna matata
Jambo, jambo bwana, habari gani? Nzuri sana
Wageni wakaribishwa Kenya yetu hakuna matata
Riiba, alright
Writer(s): Teddy Kalanda Harrison
Lyrics powered by www.musixmatch.com